Sipati picha hiyo nchi itakuwaje. Alafu hapo Museveni ndio Rais wenu. Looh!ndio maana kila nchi itafanya REFERENDUM IF 2/3 OF THE TOTAL COUNTRIES HO FORWARD THEN WE BECOME A COUNTRY WITHOUT YOU
UGANDA RWANDA KENYA WILL BE A SINGLE ENTITY BEFORE I DIE!!
You have a right to opt out if you don't like the idea.Akuna ******** tz anayetaka eac hiyo ni janja ya Kenya kujinufaisha kitapeli kama ilivyo tufanyia kwa AEC ya mwanzo watz atutaki eac tunataka ushirikiano wa kawaida tu
We don't like Kenya's idea because it undermine us we like tz ideaYou have a right to opt out if you don't like the idea.
And so you mean EAC is Kenya that way you asking as to opt out for disagree !!!!!!!! If not way you don't agree to stay away the EPA because is our ideaYou have a right to opt out if you don't like the idea.
Katika EAC nchi ya maana kwa Tanzania ni kenya tu.We don't like Kenya's idea because it undermine us we like tz idea
Kenya following in Tanzania's footsteps. Hii kitu Magufuli alishaanzisha Tanzania zamani mbona!
Juzi nimeingia wizara flani hivi hapa Dar nje kuna bendera ya EAC na ya Tanzania. Ndani, kabla ya kuanza kikao, ukapigwa wimbo wa taifa alafu wa EAC ukafuatia.Bado sipati picha mbona imekua issue kubwa kwa Watanzania kwamba Kenya imefuata Tanzania kwa hili. Yaani tukiwaachia mtuongoze hata kwa jambo ndogo kama la bendera inakua taarifa kote kote na sherehe. Bendera ya EAC ni kwa ajili ya nchi zote husika, hivyo kwa njia moja au nyingine, lazima kila nchi itakua inapeperusha hiyo bendera hatimaye.
Juzi nimeingia wizara flani hivi hapa Dar nje kuna bendera ya EAC na ya Tanzania. Ndani, kabla ya kuanza kikao, ukapigwa wimbo wa taifa alafu wa EAC ukafuatia.
They should go a step further. Car number plates ziwe na bendera zote mbili, ya EAC na ya nchi husika. Ujumbe lazima utawafikia wengi!