Wanafunzi kuchapwa viboko shuleni naunga mkono sana tu

Jose M

Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
64
Reaction score
9
[COLOR=rgba(0, 0, 0, 0.8)]Namuunga mkono WAZIRI Mulugo kwenye hili. Wale wa Haki za Binadamu wanajifanya kama hawaishi Tanzania na kama wao walisoma Ulaya kwamba hawakuchapwa. Naomba tuwachape wawe na adabu mpaka tutakapo fikia kiwango wanachokitaka watu wa haki za Binadamu. Safi sana Waziri.[/COLOR]
 
Fimbo muhimu sana,kama matumizi yatakuwa sahihi
 
Kufeli kwa wanafunzi nimatatizo ya upungufu wa walimu na vifaa lakin viboko vinaumiza, havifundishi
 
Tupende au la,jamii yetu hasa wanafunzi bado wanahitaji fimbo kwa nidham.tusiruke mto kabla ya kuufikia.sisi ni wachanga
 
sasa mm nawashangaa kwani mashuleni viboko havikuwepo? mbona mikwaju ilikuwepo kama kawa uliza watoto wa st.methews.na shule za kata kibao
 
Viboko havina maana yoyote na sio kama vilifutwa ni maneno tu. na mwanafunzi si lazima achapwe viboko ni akili ya mwalimu jinsi alivyo andaliwa na ukaribu wake yeye na mwanafunzi ndio inaweza kumbadili mwanafunzi,lakini kiboko hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…