Wanafunzi kuhamua kuchoma shule je wamechoka kusoma?

Mango833

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Posts
4,407
Reaction score
20,572
Kumekuwa na kesi nyingi sana kwa kipindi hichi wanafunzi wa shule za upili kuchoma moto kwa mujibu wa Bbc shule zaid ya 70.sababu ni kupunguzwa kwa muda wa likizo.Au wakenya hawataki kusoma
 
Hawa wanafunzi wa Kenya ni wateja wazuri sana wa Bangi ya Tarime sasa wakivuta huskia wadudu wanatembea kwenye Ubongo si ajabu kabisa kwa wanachofanya!
 
Hawatumii akili yao kwa undani. Wanaelekezana upuuzi wao wakiwa kwenye bad group

Back
Top Bottom