Habari zenu vijana wa tanzania pamoja na wazazi wa watoto wetu wanaotarajiwa kuingia elimu ya juu.
Natumia fursa hii kuwataarifu wote walioguswa kwa namna moja au nyingine na huduma ya NGO iitwayo HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORTING FUND(HLSSF).
Kwanza kabisa nawapongeza wote waliotoa maoni yao katika mtazamo chanya juu ya hii programu ya HLSSF.
Pili nasikitika kwa wale ambao bado wanafikra finyo katika kupanga mipango mikubwa(strategic plans).Maoni ya wadau mbalimbali katika hii forum ya jamii nimeyaona.Kila mtu ana uhuru wa kusema na kuchangia kile anachodhani ni sahihi kwake.
Kitu cha msingi ninachotaka kuwaambia watanzania wenzangu ni kwamba.Hii NGO yetu inajihusisha na kutoa huduma zipatazo nane kama zilivyoelezewa kwenye kipengele cha MASWALI NA MAJIBU kwenye mtandao wetu.Hii NGO ilisajiriwa tarehe 30/10/2008 with registration number OONGO/00002621;under the NGOs ACT NO.24/2002 as per section 12(2) chini ya wizara ya maendeleo ya jamii ,jinsia na watoto.
HLSSF inamtandao ambao ni
www.hlssf.org; mtandao huu umewekewa maelezo mbalimbali juu ya programu ya HLSSF katika kipengele cha MASWALI NA MAJIBU na vingine vingi.
HLSSF ilianzishwa na vijana wa kitanzania mnamo mwaka 2008;kipindi hicho wakiwa ni wanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha DAR ES SALAAM.Vijana hawa kwa kuwa na uchungu na matatizo mbalimbali yaliyowapata wanafunzi kutokana na uhaba wa mikopo ya elimu ya juu;waliona ni jambo bora sana kuwa na programu mbadala itakayoisaidia serikali kupunguza tatizo la sponsorship kwa wanafunzi wa elimu ya juu.Vijana hawahawa kipindi hicho walikuwa ni wanachuo;wanaotoka familia za kipato cha chini lakini wenye vision na mission kubwa ya kusaidia kizazi kijacho cha watanzania ili kiweze kupata fursa bora ya kusoma kwa amani elimu ya juu.
HLSSF imeishafanya projects za awali kama zilivyoainishwa katika mtandao wetu.Kiukweli ni kwamba HLSSF inajikita na huduma ambazo ni very sensitive kwa watanzania wengi kwa kuwa zimgusa kundi kubwa kwa wakati mmoja.
Kuhusu sponsorship ya wanafunzi;HLSSF ilibainisha namna ambavyo itaweza kuandaa mpango mkubwa wa kufadhili wanafunzi wengi vyuo vikuu bila kubagua dini,kabila na kipato kama ifuatavyo.
1)HLSSF inamchakato wa kutafuta pesa kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi kupitia proposals ambazo zitakuwa zimebainisha ni wanafunzi wangapi wanataka ufadhili katika elimu ya juu.Hapa ni kwa wale hasa ambao hawana uwezo kabisa wa kujilipia na wamekosa pesa kutoka HESLB.
2)HLSSF imepanga rasmi kuutangazia umma kuanzia mwezi wa kumi na mbili kuwa wanatakiwa sasa wajiunge na MFUMO WA BIMA YA ELIMU YA JUU kupitia MFUKO WA KUSAIDIA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU(HLSSF) ili kuwa wanachama wa HLSSF kwa ajili ya kuwaandalia mazingira bora ya udhamini wa watoto wao katika masomo ya elimu ya juu.Hii itakuwa kama ifuatavyo:
Mzazi anatakiwa ajue kuwa ni wajibu wake kumsomesha mtoto hadi chuo kikuu bila ya kusubiria neema ya serikali ya kuwapatia mkopo baadhi ya wanafunzi.Hivyo basi kama mzazi anamtoto sekondari au primary anatakiwa kuongea nasi ili aweze kujua ni kiasi gani atatakiwa kuchangia kila mwezi kadiri ya mahitaji ya watoto wake ambao bado hawajafikia level ya kujiunga na masomo ya elimu ya juu.Tukishakubaliana;sisi tutampatia mahesabu sahihi ya future value of his/her contributions for let say miaka 5 au mitatu ijayo.Hii itamfanya mzazi yeyote awe mwenye kipato kikubwa au kidogo kuwa na akiba ya dhati ambayo anajua fika itampunguzia tatizo la sponsorship kwa mtoto wake.Baada ya kufanya mahesabu ya hayo ya contributions;HLSSF itaongeza ruzuku kwa mwanachama husika kwa ajili ya kufadhili masomo ya mtoto wake;ruzuku hii itatofautiana kulingana na amount of contribution na period of contribution kadiri ya mahesabu ya kitaalamu yatakayopatikana kadiri ya formula husika iliyopitishwa na uongozi.Kwa hiyo basi lengo kubwa la HLSSF ni kuwaunganisha wananchi sasa waweze kutambua kuwa jukumu la kusomesha wanafunzi elimu ya juu linawahusu kwa asilimia miamoja;hivyo basi waanze sasa kuandaa mazingira bora kwa watoto wao walio form standard 4,5,6,7 form 1,2,3,4,5 ili waweze kusoma katika mazingira bora.Hii itawasaidia wazazi wengi kutofeel the impact ya emergency to pay for costs of studies pale watakapoambiwa watoto wao hawakupata pesa za bodi ya serikali.Pia itawawezesha wazazi kutopata immediate loss ya kuuza mali zao kama viwanja,mashamba na nyumba kwa ajili ya kulipa hizo gharama za chuo.
Watanzia naomba tuwe waelewa hii ni muhimu sana kwa nchi yetu kwani bila programu kama hii vijana wengi sana wataishia form six.Tunaomba subira kidogo;tumeandaa programu kubwa ya kujitangaza kwa upana zaidi tanzania nzima kuanzia kupitia media zote na baadae kutembelea vyuo mbalimbali nchini pamoja na kuwatembelea halmashauri na serikali za kata katika mikoa yote Tanzania ili kuwahabarisha kwa kina juu ya umuhimu wa wazazi na wananchi kwa ujumla kujiunga na mpango mzima wa HLSSF EDUCATION INSURANCE SYSTEM.Hii publicity plan ni project ambayo inabidi ifanywe kwa umakini na iwe na maandalizi ya kutosha.Tutaanza mwezi wa kumi na mbili.
Kwa upande mwingine HLSSF imeandaa mpango wa kuwa na ENTRPRENEURSHIP CLUBS katika vyuo ambazo zitaelezwa kwa kina pindi tutakapotembelea vyuo mbalimbali nchini.Hizi CLUBS zitakuwa ni za wanachama wa HLSSF katika vyuo husika ambao watakuwa wanapewa maelekezo mbalimbali juu ya namna ya kujiandaa na changamoto ya soko la ajira baada ya kumaliza masomo yao vyuoni.Hivyo basi,hizi clubs zitawapa fursa vijana wengi kuandaa michanganuo yao ya biashara mapema ambayo HLSSF MANAGEMENT itaipitia kwa kina na kuitafutia mitaji au mikopo ili vijana hawa wawe katika nafasi nzuri ya kukabiliana na changamoto ya ajira pindi wamalizapo diploma/digrii au masters zao.Kwa sasa Tanzania imekumbwa na big problem of youth unemployment especially wale graduates.So;HLSSF haiko tayari kuona vijana wakitaabika mitaani huku wao wana elimu na ujuzi mkubwa wa kufanya mambo makubwa ya kisomi.Hivyo basi wanachama wetu mlio vyuoni msitazame swala moja tu lakupatiwa pesa kuna hili la ajira nalo ndo balaa zaidio.
Hata hivyo;HLSSF imeandaa mpango wa kuwatafutia wanafunzi wa vyuo vikuu maeneo ya kufanya mafunzo kwa vitendo.Wale watakao kuwa na haja ya kusaidiwa juu ya hili walete maombi yao mapema ili sisi tuweze kuwasiliana na partners na stakeholders wetu katika program hii ya Practical Training.
Mwisho kabisa:NAOMBA NIWATOE HOFU WATANZANIA WOTE KUWA SISI WADAU WA HLSSF TUNAPATIKANA KWA NJIA MBALIMBALI NA SIO MATAPELI.KINACHOFANYA WATU WASEME SISI MATAPELI NI KWAMBA WAO WAMEIPAPATUKIA HII PROGRAMU YETU BILA YA KUIJUA KWA UNDANI NI NINI?NA INAHUSIKA NA NINI HASA?INAFANYA KAZI KWA STAILI GANI?IMEANZISHWA VIPI?INA MALENGO GANI?SHIDA YA PESA ZA HARAKA KWA WANAFUNZI WENGI NAYO IMECHANGIA KWA BAADHI YA WANAFUNZI KUSEMA SISI MATAPELI!SISI TULIKUWEPO TANGU 2008;WE ARE VERY STRATEGIC KWA KUWA TUNADILI NA PROGAMU KUBWA AMBAYO TUNAITARAJI KUDUMU KWA VIZAZI NA VIZAZI.
"KWA WALE WALIOOMBA MIKOPO TUNAWAOMBA WAVUTE SUBIRA KWA KUWA SISI HATUNA CHIMBO KA PESA ILA TUMEANDAA UTARATIBU KUWA UNAPOLETA APLLICATION YAKO SISI TUNAIPITIA APPLICATION YAKO NA KUIINGIZA KWENYE LIST YA MAJINA AMBAYO TUNAYAOMBEA PESA KUTOKA KWA WAFADHILI WETU MBALIMBALI KUPITIA PROPOSALS WITH EVIDENCE KUWA KUNA WATU WANSHIDA YA UFADHILI.HATA HIVYO;NIWAJULISHE KUWA WALE AMBAO BADO HAMJATUMA KAMA UNATAKA MSAADA WETU UNAWEZA UKATUMA ILI NAWE UWE KWENYE LIST YA WALE WANAOOMBEWA PESA ZA KULIPI GHARAMA ZA MASOMO YA ELIMU YA JUU.TUTATOA TAARIFA RASMI KUPITIA MTANDAO WETU MWEZI WA KUMI.TUNAWASIHI SANA WATANZANIA WENZETU MSITUVUNJE MOYO KWA KUWA HII PROGRAMU IMEANZISHWA KWA KUJITOLEA NA INAFANYWA NA VIJANA WENZENU WENYE NIA NJEMA YA KUTATUA TATIZO LA SPONSORSHIP ELIMU YA JUU.TUPENI MUDA MUONE KWAMBA TUNAYOYAPANGA YANATIMIA."DON'T JUDGE A BOOK BY ITS COVER PLEASE"
TUNATUMAI TUNAFANYA KAZI NA WASOMI.SO TUNAWAOMBA NA NYINYI MFIKILIE KISOMI ZAIDI.WANAOTAKA MAELEZO YA KINA FIKENI OFISINI KWETU KUANZIA TAREHE 4/10/2012 NITAKUEPO MWENYEWE MKURUGENZI MKUU FULL TIME IN OFFICE FROM 9:00 AM TO 4:00PM.
NASHAURI TUWE NA UTARATIBU WA KUPATA TAARIFA KUPITIA NJIA SAHIHI KABLA HAUJAROPOKA KWA KUWA NEXT TIME UKIROPOKA UTAYARUDISHA MANENO YAKO MDOMONI.KWA WALE WANAOTAKA KUPATA TAARIFA ZETU KWA UNDANI NA WAKO MBALI NA DAR ES SALAAM;MNASHAURIWA KUSOMA KIPENGELE CHOTE CHA MASWALI NA MAJIBU KWENYE MTANDAO WETU.UKIONA HAUJAELEWA VIZURI NAKURUHUSU UNIPIGIE SIMU NA KUNIULIZA.
OFISI YETU IKO UHURU STREET, KARIBU NA KITUO CHA DALADALA CHA MNAZI MMOJA;UHURU ROAD BAADA YA MAKUTANO YA UHURU ROAD NA LUMUMBA ROAD.JENGO MOJA NA CALIST TOWER HOTEL; 9TH FLOOR,TUMETAZAMA KIDOGO NA KITUO CHA KUJAZA MAFUTA CHA GAPCO.
NAWATAKIENI KILA LA KHERI KATIKA UJENZI WA TAIFA LETU LA TANZANIA.NAOMBA TUWE NA SHUKRANI KWA WALE WANAOTOA MAWAZO CHANYA KUHUSU MAENDELEO YA TAIFA LETU.
NI MIMI
RESPICIUS KAMUHABWA,
MKURUGENZI MKUU - HIGHER LEARNING STUDENTS SUPPORTING FUND(HLSSF)
Mob:+255765420512/717488745.
Telephone: +255 22 2183709
Fax: +255 22 2183710.
E-mail:info@hlssf.org;
reska@hlssf.org