Wanafunzi Law school ya Tanzania mnayo ya kujifunza Kenya

Wanafunzi Law school ya Tanzania mnayo ya kujifunza Kenya

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu.

Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly

Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika level mbalimbali.

Kwenye uwanja wa mapambano options zote ni muhimu kuwa mezani.

Ikumbukwe tofauti yetu na Kenya ni kwenye idadi ya wananchi wenye kujitambua.

Katika hali kama hii wahanga wenyewe kujitambua inatosha sana.

Maneno ya Museveni kuwa maendeleo ya Uganda hayawezi kusubiria wakaramojong kujua kuvaa suruali yanabeba maana halisi.
 
Back
Top Bottom