B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Oct 26, 2022 #1 Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu. Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika level mbalimbali. Kwenye uwanja wa mapambano options zote ni muhimu kuwa mezani. Ikumbukwe tofauti yetu na Kenya ni kwenye idadi ya wananchi wenye kujitambua. Katika hali kama hii wahanga wenyewe kujitambua inatosha sana. Maneno ya Museveni kuwa maendeleo ya Uganda hayawezi kusubiria wakaramojong kujua kuvaa suruali yanabeba maana halisi.
Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu. Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika level mbalimbali. Kwenye uwanja wa mapambano options zote ni muhimu kuwa mezani. Ikumbukwe tofauti yetu na Kenya ni kwenye idadi ya wananchi wenye kujitambua. Katika hali kama hii wahanga wenyewe kujitambua inatosha sana. Maneno ya Museveni kuwa maendeleo ya Uganda hayawezi kusubiria wakaramojong kujua kuvaa suruali yanabeba maana halisi.