Candid Scope JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 11,897 Reaction score 6,925 Aug 1, 2011 #1 Wanafunzi watasoma lini kama shughuli wawapo shuleni ni kwenda kuokota kuni kwa ajili ya walimu wao. Hapo pichani ni wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Manda, Mkoa mpya wa Njombe
Wanafunzi watasoma lini kama shughuli wawapo shuleni ni kwenda kuokota kuni kwa ajili ya walimu wao. Hapo pichani ni wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Manda, Mkoa mpya wa Njombe