Wanafunzi masomo na kuwahudumia walimu

Wanafunzi masomo na kuwahudumia walimu

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,925
IMG_3788.JPG


Wanafunzi watasoma lini kama shughuli wawapo shuleni ni kwenda kuokota kuni kwa ajili ya walimu wao. Hapo pichani ni wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Manda, Mkoa mpya wa Njombe​
 
Back
Top Bottom