muda mwinggine unatamani uchukue kiboko na kuanza kuchapa wanafunzi wanao zurula mitaani wakati vipindi vya masomo vikiendelea,mfano hapa mtaani kwetu ikifika saa 3 asubuhi,tayari kundi la wanafunzi wakiwemo wa kike na wa kiume wapo kwenye sehemu za kuuza chipsi mihogo/viazi,elimu ya tanzania inapotea ubora kutokana na usimamizi mbovu ktk ngazi zote