wanafunzi na harakati za mitaani

wanafunzi na harakati za mitaani

Mgazini

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
293
Reaction score
39
muda mwinggine unatamani uchukue kiboko na kuanza kuchapa wanafunzi wanao zurula mitaani wakati vipindi vya masomo vikiendelea,mfano hapa mtaani kwetu ikifika saa 3 asubuhi,tayari kundi la wanafunzi wakiwemo wa kike na wa kiume wapo kwenye sehemu za kuuza chipsi mihogo/viazi,elimu ya tanzania inapotea ubora kutokana na usimamizi mbovu ktk ngazi zote
 
Cha ajabu ikifika mitaani wanafaulu balaa...ila wakimaliza shule hawajui kusoma wala kuandika.....
 
Back
Top Bottom