Wanafunzi na walimu ni kama maadui

Wanafunzi na walimu ni kama maadui

Wazazi ndio kwanza waaribifu wa tabia kwa watoto lawama kwa walimu ,ukitaka kujua hili kumbuka kipindi cha korona wazazi walikaa na watoto nyumban wakawachoka "eti shule hawafungui tuu"nin maana yke,wanafunzi wanashinda mda mrefu na mwalimu hivyo kunatabia mwanafunzi anazoficha kwa mda mfupi kwa mzazi ataonyesha kwa mwalimu tu anayekaa naye mda mrefu,usipomwamini mwalimu mfundishe mwenyew mwanao simple way.Mnamalezi ya kudekeza watoto wenu wakiharika wansrushia lawama walimu,mtoto yupo form 4hadi nguo za ndani anafuliwa
 
More sticks more discipline ,naunga hoja ya kuwacharaza watoto ila kwa kufuata kanuni ya utoaji wa adhabu,viboko vitatu vya nguvu huku ukizingatia umri na afya ya mtoto.

Hakuna kazi ngumu kama kumlea mtoto ngozi nyeusi,mimi mwalimu kwa zaidi ya miaka kumi,napenda kuwaelekeza na kuwafundisha watoto wajitambue,ila wanakela sana ,hata kama tulete malaika aje kuwafunza watoto wenu lazima atawachara bakora tu.

Umemwambia mtoto awahi yeye anachelewa,umetoa zoezi mtoto hafanyi,umemwambia afanye usafi wa mazingira na hafanyi,anatukana na kupiga wenzake,hana nidhamu unataka mwalimu akamnunulie maandazi na chai mtu kama huyu?
 
Mathematics O level nimefundishwa na Mzungu, ni mmarekani. Anasema kule darasa zima wanapata One na ikitokea mtoto ka loose basi ana two.

Adhabu ya viboko waliiondoa kwakuwa ni utumwa.

Je, kati ya nchi hii ya mafimbo na US ni nchi ipi ina wasomi bora?

Hizi shule za kata ambazo walimu wanashindana kupiga fimbo ukitazama matokeo ya form four ni uchafu mtu

Mimi nina huruma na jamii yangu ya akina ephen_ hivyo nazingatia sana ubora na viwango pamoja na Value for money Mkuu 🤗

Bahati mbaya tumezeeka sasa 😜
 

Attachments

  • siri_ya_mvuvi_mahiri_22082020_11_13.jpg
    siri_ya_mvuvi_mahiri_22082020_11_13.jpg
    86.1 KB · Views: 2
Kweli kabisa huko Marekani si ndo watoto wanakwenda na bunduki kuuwa wenzao
Na kuua darasa zima ili kesho yake raia wapate pa kuweka maua na kushikana mabega
Fimbo na maonyo yanatakiwa kupewa kipaumbele sana shuleni
 
Kuna English medium ya serikali ipo iringa mjini aise ni balaa tu imebidi nione Kama naweza kumhamisha kijana wangu.
Kwanza wanabeba mabegi makubwa sana shuleni hakuna ratiba mtoto wa Darasa la nne anabeba mzigo wa daftari karibu ishirini huku nusu zikiwa kaunta book Q2. Mwalimu wa somo lolote anaingia muda wowote. Analogia inatawala hakuna kufuata ratiba.
 
Hiyo chuki yako hadi kuandika uzi wenye maneno ya kudhalilisha waalimu imevuka mipaka. Kama kuna shida mahali malizana na mwalimu katika namna sahihi ila sio kuwaona kuwa ni mataahira.

Kusema kwamba wanafunzi wasichapwe viboko ni upumbavu tunaoweza kujutia baadae. Huko Marekani vijana ni kama wameshachanganyikiwa kwa tabia za hovyo hasa wale black. Sisi tuko sahihi kulinda maadili yetu. Ukikereka zaidi hamishia mtoto wako London.
Kwanza napenda kumshukuru Rais Samia kwa kupandisha mishahara kwa Walimu
Pili naunga mkono hoja
 
Kuna waalimu wana roho mbaya sana hasa hawa wa field hasa hasa wa chuo cha butimba shenzi wale
 
Back
Top Bottom