Kabisa MkuuTutafute pesa Watoto wetu wasipite hapo.
KWELI WEWE NI BICHWA KOMWEKiufupi na kimsingi ni kwamba walimu ni MAZEZETA
Mathematics O level nimefundishwa na Mzungu, ni mmarekani. Anasema kule darasa zima wanapata One na ikitokea mtoto ka loose basi ana two.
Adhabu ya viboko waliiondoa kwakuwa ni utumwa.
Je, kati ya nchi hii ya mafimbo na US ni nchi ipi ina wasomi bora?
Hizi shule za kata ambazo walimu wanashindana kupiga fimbo ukitazama matokeo ya form four ni uchafu mtu
Mimi nina huruma na jamii yangu ya akina ephen_ hivyo nazingatia sana ubora na viwango pamoja na Value for money Mkuu π€
Bahati mbaya tumezeeka sasa π
Na kuua darasa zima ili kesho yake raia wapate pa kuweka maua na kushikana mabegaKweli kabisa huko Marekani si ndo watoto wanakwenda na bunduki kuuwa wenzao
Na wamefanyikiwa vyema tu.Tuendelee kuzijaza.Tuendelee kuzitafuta usiku mchanaKabisa Mkuu
Ndiyo maana baadhi ya Vijana walipelekwa kusoma nje ili waje watuongoze sisi akina Kajamba nani π
Kwanza napenda kumshukuru Rais Samia kwa kupandisha mishahara kwa WalimuHiyo chuki yako hadi kuandika uzi wenye maneno ya kudhalilisha waalimu imevuka mipaka. Kama kuna shida mahali malizana na mwalimu katika namna sahihi ila sio kuwaona kuwa ni mataahira.
Kusema kwamba wanafunzi wasichapwe viboko ni upumbavu tunaoweza kujutia baadae. Huko Marekani vijana ni kama wameshachanganyikiwa kwa tabia za hovyo hasa wale black. Sisi tuko sahihi kulinda maadili yetu. Ukikereka zaidi hamishia mtoto wako London.
Kwa kweli MkuuNa wamefanyikiwa vyema tu.Tuendelee kuzijaza.Tuendelee kuzitafuta usiku mchana