Wanafunzi Ndanda high school waandamana

Ndanda boys what's wrong

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yah walikuwa wanakwenda kwa mguu.

Tatizo la vitoto vya advance,vinajiona vina upeo mkubwa sana wa kufikiria,kwani viboko kwa mwanafunzi vimeanza leo?,Kutoka ndanda hadi masasi kwa miguu..!huu si utahira?
 
wanataka wafaidike na gas nini,hata hivyo haiwahusu!!!!
 
hivi mkuu wa shule pale ni nani sasa hv?maana kipindi yupo Millinga,viboko vilikuwa vchache sana,busara ilitumika,but inategemea na nature ya wanafunzi waliopo,kwa hawa wa digitali,viboko lazima..na kwa akl yao fupi wakaona bora waandamane.
 
yah ,,, nakuunga mkono mkuu i was there too zama za millinga ,,, we called it open university
 
Jina lilianza baada ya kuondoka ghowele...(OUT)...hv hao vjana walikuwa wanakufahamu masasi kweli,c wangeishia mwena tu!
 
hivi mkuu wa shule pale ni nani sasa hv?maana kipindi yupo Millinga,viboko vilikuwa vchache sana,busara ilitumika,but inategemea na nature ya wanafunzi waliopo,kwa hawa wa digitali,viboko lazima..na kwa akl yao fupi wakaona bora waandamane.

Ulikuwa mwaka gani pale bweni gani sheratoni au huku mawenzi na kibo aisee nilikaa pale miezi kama saba sikuwahi chapwa bakora hata siku moja
 
kumbe kuna ardhi ya kanisa?

Ukimiliki ardhi kisheria ukawa na hati,bado utakuwa huna ardhi?au we mbulula
 
Mkuu, huwajui hawa vichwa mbovu mbovu? Akili zimejaa matongotongo ya udini na ubinafsi.
 
Ulikuwa mwaka gani pale bweni gani sheratoni au huku mawenzi na kibo aisee nilikaa pale miezi kama saba sikuwahi chapwa bakora hata siku moja
Mkuu, inaonekana uliwahi kwua hapo Ndanda. Ebu nitoe wasi wasi, hivi inawezekana kweli kuandamana toka pale Ndanda kwenda Masasi?
 
Hawawezi hawa vijana walikuwa wanamjambisha mkuu wa shule tu
 
Hahahaha walikuwa wanaenda kunyoosha miguu mwena hao we ndanda to masasi sio kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…