Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah walikuwa wanakwenda kwa mguu.
Mwaka jana walitaka Msikiti ujengwe ndani ya ardhi ya Kanisa!
hivi mkuu wa shule pale ni nani sasa hv?maana kipindi yupo Millinga,viboko vilikuwa vchache sana,busara ilitumika,but inategemea na nature ya wanafunzi waliopo,kwa hawa wa digitali,viboko lazima..na kwa akl yao fupi wakaona bora waandamane.
yah ,,, nakuunga mkono mkuu i was there too zama za millinga ,,, we called it open university

wanataka wafaidike na gas nini,hata hivyo haiwahusu!!!!
kumbe kuna ardhi ya kanisa?
Ukimiliki ardhi kisheria ukawa na hati,bado utakuwa huna ardhi?au we mbulula
Mkuu, inaonekana uliwahi kwua hapo Ndanda. Ebu nitoe wasi wasi, hivi inawezekana kweli kuandamana toka pale Ndanda kwenda Masasi?Ulikuwa mwaka gani pale bweni gani sheratoni au huku mawenzi na kibo aisee nilikaa pale miezi kama saba sikuwahi chapwa bakora hata siku moja
Mkuu, inaonekana uliwahi kwua hapo Ndanda. Ebu nitoe wasi wasi, hivi inawezekana kweli kuandamana toka pale Ndanda kwenda Masasi?
Dah mzee milinga alikuwa na escudo yake, vipi mwaka gani pale