Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

Wewe punda kikao kilikuwa cha wazazi wenyewe wakiongozwa na diwani wao mkuu wa shule kama katibu na waalimu wengine hawakuwepo kwenye kikao waliendelea na ufundishaji,Sasa waliwalazimishaje ingali hawakuwepo kwenye kikao.RUDI DARASANI KAPATE ELIMU
Shikamo mwaimu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wakuu naomba kujuzwa kama mtu mwenye kujua. Je ni michango ipi inaruhusiwa shule za serikali za msingi na sekondari? Pesa ya walinzi, graduation, mock, mtihani, chakula, usafi, n.k
 
Wazazi eleweni serikali haina pesa ajiri ya chakula cha watoto wenu sema hapo kuna harufu ya wizi elfu 70 y'all chakula cha miaka mingapi minne au hapo kuna upigaji
70 nayo pesa?hapo atakunywa uji,lunch,nakama nibweni na chakula cha jioni kwa muhula mzima.
 
Wakuu naomba kujuzwa kama mtu mwenye kujua. Je ni michango ipi inaruhusiwa shule za serikali za msingi na sekondari? Pesa ya walinzi, graduation, mock, mtihani, chakula, usafi, n.k
Cha msingi fika shuleni kwa mwanao umuulize mwalimu mkuu kama wanapewa pesa ya mock, chakula au mlinzi. Akikujibu ndo utajua ipi inaruhusiwa na ipi isiyoruhusiwa. Wanao wanasoma shule za kula milo mitatu.
 
Kauli imeleta utata sana, sisi tumeamua wasile mana jamaa hachelew kutumbua mtu kwa kumpinga
 
Wewe naye wa ajabu yaani 70,000 ya chakula kwa mwaka mzima unasema kuna upigaji?!!!mbona shule nyingi za kata ambazo zipo vijijini wazazi wanachangia gunia moja la mahindi tu mwaka mzima?
Wewe mototo anakula nini elfu sabini kwa shule ya day acheni upigaji nyie ndio mmesababisha mh rais atoe tamko mlo mmoja tu kwa mwaka elfu sabini si wizi huo
Dembe mbili za mahindi tuseme elfu 30, pesa ya mboga na mpishi elfu 20 tunapata elfu 50, haya ishirini inaenda wapi acheni wizi
 
70 nayo pesa?hapo atakunywa uji,lunch,nakama nibweni na chakula cha jioni kwa muhula mzima.
Acheni wizi watoto day wanakula mlo mmoja tu, hakuna chai, Waka lunch hiyo elfu sabini anakula nini kuishi mjini isiwe sababu ya kudharau pesa eti elfu sabini ni hela are you crazy, hiyo elfu sabini maisha ya mjini mtu mwenye familia anatoboa mwezi mzima wewe unasema elfu sabini ni pesa ngoja ukue uanze tafuta pesa zako ndio utajua elfu sabini ni pesa au vipi maana kwa uandishi huu inaonekana bado unakula bure na kulala bure
 
una panic nini wewe,sasa ulitaka kuchangia ngapi,kumbuka huo ni muhula kwa mtu anaeishi bweni,watoto wa day kunakuwa nautaratibu mwingine hapo ,wazazi changieni msikimbie majukumu.
Cha msingi fika shuleni kwa mwanao umuulize mwalimu mkuu kama wanapewa pesa ya mock, chakula au mlinzi. Akikujibu ndo utajua ipi inaruhusiwa na ipi isiyoruhusiwa. Wanao wanasoma shule za kula milo mitatu.
 
Wakuu naomba kujuzwa kama mtu mwenye kujua. Je ni michango ipi inaruhusiwa shule za serikali za msingi na sekondari? Pesa ya walinzi, graduation, mock, mtihani, chakula, usafi, n.k
Michango yote inaruhususiwa, ada tu ndiyo iliyofutwa. Michango yote yenye makusudi ya kuboresha upatijanaji wa elimu bora ni ruksa. Ili mradi tu ipitie vikao vya maamuzi halali, na hapa kikubwa ni kudhibiti matumizi yake na kuzuia kuwa kikwazo cha watoto kusumbuliwa ktk masomo yao. Jamii ikiamua inachangia chochote kile, tusimnukuu vibaya Mh. Rais wetu na matarajio chanya ya kauli zake.
 
Ahsante mkuu. Nilikuwa sijui kama karo imefutwa maana hapa jirani kwangu kuna shule inaitwa Itilima secondary watoto wameambiwa inakiwa walipe ada ya shillingi 35,000 na pesa ya mlinzi 25,000 na mock 30,000 na pesa ya michezo 15,000 nikashangaa
 
Mtoto wangu anasoma Tanga Technical ni ya serikali sijawahi kuchangishwa hata senti tano.
Tanga tech ni boarding serikali inalipa kila kitu mpaka fedha kwaajili ya chakula , shida iko shule za day ambako wazazi wanajichanga ili watoto wao wasishinde njaa.
Au hoja yako ni ipi Mkuu!?
 
Back
Top Bottom