Wanafunzi St. John's Dodoma waandamana

Wanafunzi St. John's Dodoma waandamana

MaMkwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2007
Posts
284
Reaction score
21
Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa huko Dodoma wanachuo wa St. Johns waandamana kupinga vitendo vya wizi na ubakaji vinavyofanywa na vijana wa kihuni pembezoni na ndani ya chuo hicho. Aliyepo Dodoma tunaomba taarifa zaidi
 
Mamkwe tumekupata ngoja tumtafute kova wa Dodoma atupe maelezo
 
Enzi zetu vijana walikuwa wanapelekwa JANDO, mingoni mwa mambo wanayofundihwa ni kuwa wanajukumu la ulinzi wa jamii. Siku hizi kijaana akiibiwa simu anaenda kuandamana!!! Seriklai ikutunzie simu na laptop yako???
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa huko Dodoma wanachuo wa St. Johns waandamana kupinga vitendo vya wizi na ubakaji vinavyofanywa na vijana wa kihuni pembezoni na ndani ya chuo hicho. Aliyepo Dodoma tunaomba taarifa zaidi

Taarifa hiyo imekewepo hapa JF kuanzia saa saba mchana. Kabla ya kuanzisha thread unapaswa kufanya kautafiti kadogo kuona kama suala hilo limeishakuwa discussed au la.
 
Back
Top Bottom