Kumekucha chuo cha kata! Bravo!! Hicho ndicho tunachotaka kusikia. Siyo eti kuchanga fedha za kumchukulia fisadi fomu za kugombea nafasi ya urais.
Bravo brave students of The University of Dodoma (Hitherto dubbed by some as CCM Cadres University) Students from other Universities and institutes of higher learning should emulate this example to salvage the country from irresponsible leadership. On the other hand CHADEMA must do faster in releasing of a video on what actually transpired in Arusha on that fateful day of January 5th. This will counter the earlier one that was edited and released by the Police Propaganda Unit. Tanzanians have the right to know what actually happened in Arusha and not simple propaganda by CCM and Police (Who unfortunately are openly pro- CCM) that the dead and injured wanted to overrun the police Station. There is abundant evidence that some of the dead and injured were shot far from the said police station like the one in the story narrated in the weekly Raia Mwema newspaper edition number 168 that has so far never been refuted.Wanafunzi wa chuo kikuu dodoma(udom) wa their edition of meamka na leo hii walijitokeza kwa wingi ktk maandamano makubwa yaliyoandaliwa na chadema mkoa wa dodoma na kulaan mauaji ya arusha,sambamba na kuchangia laki 7,ela iliyotolewa na wanafunz wa chuo hicho.wanavyuo wa vyuo vyote vya dodoma walionekana wakilia kulaan mauaji ya arusha.
Yule kijana alikuwa amenunuliwa, sasa ukweli unajionesha wenyewe!!:A S-fire1:yule kijana wa UDOM aliyesoma waraka wa kulaani walkout ya wabunge wa chadema yupo wapi...?
Wanafunzi wa chuo kikuu dodoma(udom) wameamka na leo hii walijitokeza kwa wingi ktk maandamano makubwa yaliyoandaliwa na chadema mkoa wa dodoma na kulaan mauaji ya arusha,sambamba na kuchangia laki 7,ela iliyotolewa na wanafunz wa chuo hicho.wanavyuo wa vyuo vyote vya dodoma walionekana wakilia kulaan mauaji ya arusha.
Yaani baada ya kuncheleweshewa ela ndo wanaamka.
Na bado yatawakuta mengi sana
Wanafunzi wa chuo kikuu dodoma(udom) wameamka na leo hii walijitokeza kwa wingi ktk maandamano makubwa yaliyoandaliwa na chadema mkoa wa dodoma na kulaan mauaji ya arusha,sambamba na kuchangia laki 7,ela iliyotolewa na wanafunz wa chuo hicho.wanavyuo wa vyuo vyote vya dodoma walionekana wakilia kulaan mauaji ya arusha.