Safi sana ndugu zetu wa dodoma...
Hili taifa litakombolewa na wazalendo na wenye utu na machungu ya nchi na si mafisadi.
Garama za maisha, maradhi, ukosefu wa huduma za jamii kama maji n.k zinamgusa kila mwananchi so huitaji kushikamana na chama fulani wakati taifa na ndugu zako walio vijijini wanaangamia kwa njaa na kulala kwenye tembe....Mshike yule unayeona ana nia ya kukuongoza kwenye ukombozi.
Wakati umefika sasa wa kuweka itikadi na maslahi ya vyama pembeni na kupigania uhuru wa jumla kwa watanzania wote.