Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:clap2: kweli kabisa, wengi wao wanachukua pesa za msosi na kupeleka kwenye tuition fees.nafikiri tatizo lao si chakula bali ni hela! College wanayogoma asilimia kubwa ni wale ambao wanapewa mkopo wa ada kwa % hivyo wengi wao hawana mkopo wa asilimia mia moja. Kwa hiyo vyuo wanapodai ada wanafunzi wanachofanya ni kuchukua sehemu ya hela ya chakula na kulipa ada hivyo wanakuwa hawana hela ya kutosha ya chakula. Tangazo la chuo linasema kuwa wanakopeshwa na hela hizo watalazimika kuzirudisha semester ijayo hivyo hata wakati ujao tatizo litajirudia. Mbona madai ya hela ya kujikimu hayakuwa miongoni mwa madai ya Inginiazi?