KERO Wanafunzi UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus kwenda Mabibo Hostel

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.

Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa yanawachukua Wanafunzi.

Hakuna hatua zozote management wamechukua kusolve suala hili.

Hivi hamuwezi kafanya kama club ya jogging pale chuo kuwe na ma bafu ya kutosha tu ?
 
Hii kitu haijawahi kua sorted almost 50yrs ya chuo hicho,mbaya zaidi kuna urasimu sana wakuleta usafiri from campus to mabibo km hujuani nawakubwa huwezi pata hio tenda,alternative panga mtaani instead of staying mabibo mnakua 2 mnachangia room.
Option nyingine kuna watu hua wanauza room campus changamka uwapate ununue
 
Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.

Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa yanawachukua Wanafunzi.

Hakuna hatua zozote management wamechukua kusolve suala hili.

View attachment 3165235Waongo sana nyie​
 
Unahisi utapata msaada huku mtandaoni?

Watoto mnadeka nyie!

Wanafunzi wa chuo kikuu mnashindwa kutatua tatizo kama hili na mpo karibu elfu ngapi sijui, dah!
 
Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.

Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa yanawachukua Wanafunzi.

Hakuna hatua zozote management wamechukua kusolve suala hili.

Kwanza poleni na shida hiyo inayowakabili. Lakini kwa mwanafunzi wa chuo kikuu, kweli unashindwa kujua SHATO imetokana na neno Shuttle na kulitumia ipasavyo?
 
Udsm watoto wengi niwawakulima wengine mjini ndio mara ya kwanza somsiwashangae haya wanayoulizia
Sijashangaa, ila anatakiwa kuchangamka kutafuta suluhisho binafsi la tatizo linalomkumba.

Hajasema ni mwaka wa ngapi yupo hapo tujue.
 
Back
Top Bottom