zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Hahaha apite pori kwa poriAkisubiri shato Og atalalamika JF kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha apite pori kwa poriAkisubiri shato Og atalalamika JF kila siku.
Kwamba hata kama unasomea mitishamba au Particle Physics lazima ujue neno linatokana na nini ?Kwanza poleni na shida hiyo inayowakabili. Lakini kwa mwanafunzi wa chuo kikuu, kweli unashindwa kujua SHATO imetokana na neno Shuttle na kulitumia ipasavyo?
Nendeni VETAWanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.
Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa yanawachukua Wanafunzi.
Hakuna hatua zozote management wamechukua kusolve suala hili.