Wanaonaa uvivu kutembeaAcheni umama tembeeni mbona hapo robo saa tu unakuwa umefika
Hivi hamuwezi kafanya kama club ya jogging pale chuo kuwe na ma bafu ya kutosha tu ?Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.
Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa yanawachukua Wanafunzi.
Hakuna hatua zozote management wamechukua kusolve suala hili.
Tena apitie ile njia ya kwa mama kifusi🤗.ukifika bibo huna haja ya zoez wala nini.tafuta mtu, akuoneshe shato pori
Robo saa hata ingekuwa nusu saa! Hawa ni wajinga sana na wavivu sana!Acheni umama tembeeni mbona hapo robo saa tu unakuwa umefika
Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.
Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa yanawachukua Wanafunzi.
Hakuna hatua zozote management wamechukua kusolve suala hili.
View attachment 3165235Waongo sana nyie
Kabisaa.tafuta mtu, akuoneshe shato pori
Udsm watoto wengi niwawakulima wengine mjini ndio mara ya kwanza somsiwashangae haya wanayouliziaKabisaa.
Ampitishie njia ya chakaporiKabisaa.
Kwanza poleni na shida hiyo inayowakabili. Lakini kwa mwanafunzi wa chuo kikuu, kweli unashindwa kujua SHATO imetokana na neno Shuttle na kulitumia ipasavyo?Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.
Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa kuna wakati magari hayo yanakuwa yanakodiwa kwa matumizi mengine wakati ambapo yanatakiwa kuwa yanawachukua Wanafunzi.
Hakuna hatua zozote management wamechukua kusolve suala hili.
Sijashangaa, ila anatakiwa kuchangamka kutafuta suluhisho binafsi la tatizo linalomkumba.Udsm watoto wengi niwawakulima wengine mjini ndio mara ya kwanza somsiwashangae haya wanayoulizia
Akisubiri shato Og atalalamika JF kila siku.Ampitishie njia ya chakapori