Wanafunzi Vyuo Vikuu bila kujali vyama, Mmejiandaaje katika Kusimama na Mtetezi Haki (LISSU) , Mpo Tayari Kuandamana 6/11 ?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Unasoma ndio ila Wanaoajiri, ndio hao wanaokuambia Jiajiri.

Unasoma Ndio, ila ajira zimeshikiliwa na Watu wao.

Kwa upande mmoja, Yupi Mtu maisha yake yoooote ,kayamalizia kwenye kusimamia Haki tu, Furaha yake ni Kuona Wewe mwanafunzi unaishi maisha ya Ndoto yako, Ajira ya uhakika, Upate Nyumba nzuri, Upate Usafiri , Maisha yako yawe Nuru kwa Familia yako.

Mtu huyu Noveemba 6 atahukumiwa naaa ( dalili na mikakati yao inaonyesha Atahukumiwa JELA).

Sasa nawauliza, nyinyi Wanafunzi sa Vyuo vikuu, Mko Tayari kuandamana kumdai TUNDU LISSU??
 
Au umetega mtego mzee ili ukamate vijana uchinje? Hiyo mbinu hutoboi nakuhakikishiA ukiua kumi wazuka mia
 
Km Rais wa kila kuimba mapambio kwa mama, nani ataandamana hiyo siku?
 
Unasoma ndio ila Wanaoajiri, ndio hao wanaokuambia Jiajiri.

Unasoma Ndio, ila ajira zimeshikiliwa na Watu wao.

Kwa upande mmoja, Yupi Mtu maisha yake yoooote ,kayamalizia kwenye kusimamia Haki tu, Furaha yake ni Kuona Wewe mwanafunzi unaishi maisha ya Ndoto yako, Ajira ya uhakika, Upate Nyumba nzuri, Upate Usafiri , Maisha yako yawe Nuru kwa Familia yako.

Mtu huyu Noveemba 6 atahukumiwa naaa ( dalili na mikakati yao inaonyesha Atahukumiwa JELA).

Sasa nawauliza, nyinyi Wanafunzi sa Vyuo vikuu, Mko Tayari kuandamana kumdai TUNDU LISSU??
vijana wetu wasomi hawawezi kubabaika na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi useless kama huyo gentleman 🐒
 
Unasoma ndio ila Wanaoajiri, ndio hao wanaokuambia Jiajiri.

Unasoma Ndio, ila ajira zimeshikiliwa na Watu wao.

Kwa upande mmoja, Yupi Mtu maisha yake yoooote ,kayamalizia kwenye kusimamia Haki tu, Furaha yake ni Kuona Wewe mwanafunzi unaishi maisha ya Ndoto yako, Ajira ya uhakika, Upate Nyumba nzuri, Upate Usafiri , Maisha yako yawe Nuru kwa Familia yako.

Mtu huyu Noveemba 6 atahukumiwa naaa ( dalili na mikakati yao inaonyesha Atahukumiwa JELA).

Sasa nawauliza, nyinyi Wanafunzi sa Vyuo vikuu, Mko Tayari kuandamana kumdai TUNDU LISSU??
Yaani upoteze muda wako bure bure kwa kuandamana kwa upuuzi wa mtu mjinga,huu ni ujinga wa hali ya juu sana/
TIME IS MONEY.
-MWANASIASA KWENYE SIASA NDIPO PAHALA PA UGALI WAKE,AMKENI...
-MWANASIASA KWA SABABU UGALI WAKE UPO KWENYE SIASA ZAKE NI LAZIMA ATUMIE KILA LUGHA ILI TU UINGIE KINGI.
 
Unasoma ndio ila Wanaoajiri, ndio hao wanaokuambia Jiajiri.

Unasoma Ndio, ila ajira zimeshikiliwa na Watu wao.

Kwa upande mmoja, Yupi Mtu maisha yake yoooote ,kayamalizia kwenye kusimamia Haki tu, Furaha yake ni Kuona Wewe mwanafunzi unaishi maisha ya Ndoto yako, Ajira ya uhakika, Upate Nyumba nzuri, Upate Usafiri , Maisha yako yawe Nuru kwa Familia yako.

Mtu huyu Noveemba 6 atahukumiwa naaa ( dalili na mikakati yao inaonyesha Atahukumiwa JELA).

Sasa nawauliza, nyinyi Wanafunzi sa Vyuo vikuu, Mko Tayari kuandamana kumdai TUNDU LISSU??
Kwamba anapigania haki za watu alafu yeye awe Rais..hivi mko serious ahhhhaaah.
 
Back
Top Bottom