Wanafunzi wa Academy kuwazidi wa Public schools hii imekaaje?

Wanafunzi wa Academy kuwazidi wa Public schools hii imekaaje?

Profesa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
905
Reaction score
624
Inanisikitisha, je tunaelekea wapi, maana karibu sehemu nyingi tu hasa pale maswali yanapokuwa sio ya kiacademic bali ya maisha ya kawaida na ya kisasa yamukuwa yakiwapiga chenga
 
Back
Top Bottom