Otman Moood
Member
- Jul 12, 2022
- 27
- 12
Habari: fedha ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo hususani Chuo cha mipango na maendeleo vijijini imeingia toka tarehe 30 ya mwezi 4 lakini ajabu mpaka leo tarehe 8 ,fedha izo azijaingizwa kwenye Account za wanafunzi ili waweze kuzisaini, matokeo yake tunaambiwa eti tutakatwa ela kwa sababu zimechelewa kusainiwa ,maisha yamekuwa magumu sana , Tunaomba mamlaka husika watusaidie suala hili.