carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Ndugu yako gani umewahi sikia amepigwa risasi akafa na hujawahi kumzika na wala hujui kaburi lake lipo wapi mpaka leo?wakuzengua funga chuo wakashike jembe kwanza akili iwakae sawa
màjina yao please na majina ya wahanga na NIDA zao to prove madai yakoNdugu yako gani umewahi sikia amepigwa risasi akafa na hujawahi kumzika na wala hujui kaburi lake lipo wapi mpaka leo?
Sasa hao wanafunzi kuna ndugu zao walipigwa risasi kuna marafiki zao walipigwa risasi kuna wazazi wao walipigwa risasi kuna wajomba zao walipigwa risasi kuna shangazi, Baba wadogo na wakubwa, kaka na dada zao wote walipigwa risasi wengine mpaka wapwa na binamu zao walipigwa risasi, wengine usikute hata watoto wao walipigwa risasi, unataka kusemaje na wenyewe unataka wapigwe risasi?
Jibu swali unataka na wenyewe nao wapigwe risasi?màjina yao please na majina ya wahanga na NIDA zao to prove madai yako
allégations zako sio za ukweli,kiufupi mtu anaetaka kuleta nchini machafuko kama ya sudan,,sina sababu ya kumteteaJibu swali unataka na wenyewe nao wapigwe risasi?
Huyo polisi anawapaje wasomi elimu ilhali yeye hakwenda shule?Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nyamagana, SSP Virginia Sodoka, amewaonya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania (SAUT) dhidi ya kujihusisha na vitendo vya uchochezi vinavyoweza kusababisha vurugu na kuvuruga amani, akiwataka kuelekeza nguvu zao katika masomo.
Sodoka alitoa onyo hilo wakati wa utoaji wa elimu ya ulinzi na usalama kwa wanafunzi hao jijini Mwanza, akisisitiza kuwa lengo kuu la kujiunga na chuo ni kupata elimu na kujiandaa kwa maisha ya baadaye.
Alisema baadhi ya wanafunzi wanapofika vyuoni husahau malengo yaliyowaleta na kuanza kujihusisha na shughuli zinazoweza kuwavuruga katika masomo, hali inayoweza kuathiri maendeleo yao ya kitaaluma.
“Wakati huu nyinyi ni wanafunzi na jukumu lenu kubwa ni kusoma. Muda wa kufanya siasa utafika, mtakapomaliza masomo yenu mtaweza kuamua kufanya nini katika maisha yenu. Kwa sasa zingatieni kile kilichowaleta chuoni na epukeni vitendo vya uchochezi vinavyoweza kuleta vurugu na kuhatarisha amani,” alisema.
Aidha, aliwataka kuzingatia sheria na kanuni za chuo pamoja na sheria za nchi, akisisitiza umuhimu wa kutatua changamoto zinazojitokeza kwa njia zinazokubalika badala ya kuchukua hatua zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani.
Katika hatua nyingine, aliwaonya wanafunzi dhidi ya kujihusisha na wizi, uporaji, ulevi uliopitiliza, matumizi ya dawa za kulevya na ukahaba, akieleza kuwa vitendo hivyo vinaweza kuvuruga masomo yao na kuwaingiza katika matatizo ya kisheria.
Chanzo : Saut digital
màjina yao please na majina ya wahanga na NIDA zao to prove madai yako
Hakuna elimu ya chuo kikuu bila kugoma. Kugoma na kuandamana ni matokeo ya mtu kufikiri kwa mapana. Migomo haijanza Leo eti kwasababu ni Samia. Migomo ilikuwepo tangia kambarage. Tena enzi hizo Kila kitu kilipatikana chuo bila malipo watawala wa Tanzania wanaiogopa migomo na maandamano coz hawana majibu kwa maswali wanayoulizwamàjina yao please na majina ya wahanga na NIDA zao to prove madai yako
Ulishawahi Kusoma chuo kikuu maishani mwako? Wapi na kwangazi IPi?allégations zako sio za ukweli,kiufupi mtu anaetaka kuleta nchini machafuko kama ya sudan,,sina sababu ya kumtetea
your question is immaterial and groundlessUlishawahi Kusoma chuo kikuu maishani mwako? Wapi na kwangazi IPi?
utakosa madini adimu,kijana wangu,we vumilia tu..******* kama haya ni mwendo wa block tu yabaki kusifia CCM yenyewe kmnina.
Wee mzee unazingua sana, unatakiwa upigwe wewewakuzengua funga chuo wakashike jembe kwanza akili iwakae sawa
shida ya vijana wa chadema,apart from fact kwamba akili ni kiduchu,bado nyie ni watu wa mihemko sana,na kupayuka hivyo mitandaoni kama mahayawani😂😂Wee mzee unazingua sana, unatakiwa upigwe wewe
Unatype tu! Chawa nene! Nyieeee tulie tu kudadekimàjina yao please na majina ya wahanga na NIDA zao to prove madai yako
vipi mipango yenu ya kuoindua nchi imefikia hatua gani?..😁Unatype tu! Chawa nene! Nyieeee tulie tu kudadeki
Hii ndo nini? Au wewe ni wasirra?kuoindua nchi
Hivi vitendo vya uchochozi ni vipi? Na hawa police wanaowaambia hao wanafunzi ni kama nani, wenyewe hao police wamefeli form IV wanatuambia nini washenzi hao. Nchi imekuwa ya kipolisi.Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nyamagana, SSP Virginia Sodoka, amewaonya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania (SAUT) dhidi ya kujihusisha na vitendo vya uchochezi vinavyoweza kusababisha vurugu na kuvuruga amani, akiwataka kuelekeza nguvu zao katika masomo.