Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Unazungumziaje lile body la wale jamaa wa umeme mkuu?Sasa hii inatofauti gani na ghuta?
IchaguNi gari dogo linaloweza kuaccomodate watu wawili.
Linatumia motor ambayo inakuwa powered na batteries ili kuweza kutembea, ambapo hilo gari unaliconnect kwenye umeme kama ambavo unacharge simu au laptop yako. Na ni umeme huu huu ambao tunautumia majumbani.
Linaweza kubeba 500kg na pia likiwa full charged linaweza kutembea mpaka 100km
Lipo katika finishing processes.
Kwa maelezo zaidi usisahau kuangalia ITV leo saa moja kamili jioni katika kipindi cha usafiri wako. Na pia alhamisi ijayo saa moja jioni itakuwa ni part 2 ya hicho kipindi.
USIKOSE
View attachment 812960View attachment 812961View attachment 812963View attachment 812964View attachment 812965
Ni gari dogo linaloweza kuaccomodate watu wawili.

1896 Quadricycle Henry Ford;na engine kaweka sasa! 🤣Hata 1890 yalikuwa better, natafuta walipoweka engine sioni. Imenifurahisha maana magari ya sasa yalivyo wanatuletea kituko hiki na rais akakizindue
Ha ha haNi gari dogo linaloweza kuaccomodate watu wawili.