Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji, wametengeneza gari linalotumia umeme

Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji, wametengeneza gari linalotumia umeme

Hakuna kitu hapo bure kabisa sayansi na tekinolojia aifanyiki hivyo!! Kitu ni mathematic simulation in software hiyo ndiyo sayansi siku ukisikia wataalamu wameanzia hapo ndiyo ujue tutakuwa tumepata muelekeo wa kweli
 
Daah! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Comments za wadau umu zinafurahisha sana ani! Me msomaji tu kwakweli...
 
Nicholas-Cugnots-Dampfwagen.png

1769 model


MW2_05_02_24_klein.jpg

The second Marcus car of 1888 at the Technical Museum in Vienna
Stanley_Woggle-Bug.jpg

1906
1024px-1929_Austin_7_-_Flickr_-_111_Emergency.jpg

1926
800px-RollsRoycePhantomCirca1936.jpg

RollsRoycePhantomCirca1936
1024px-VolkswagenBeetle-001.jpg

220px-2017_Toyota_Corolla_%28ZRE172R%29_Ascent_sedan_%282017-11-18%29_01.jpg

Huku watu walitoka na ujinga wao na dhihaka...mpaka sasa wapo kama walivyo.
 
Hahahhaa,yaaan kama 1982 ugunduz wa magari[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ujue mambo mengine sio ya kuweka mbele ya watu ukasema umetengeneza unaweza kuchekwa sana
hapo ni wamefanyaje kwan au unaongelea kwmba haliko fresh?? sema wabongo sisi tunashida sana hata wakiunda likawa zuri vipi bado hatukosi maneno any way ujio wa boeng sijaufurahia kabisa
 
Bado saaana!Unasemaje umetengeza Gari ambalo hata designing ya Body haieleweki kama ni Tera,Toroli!!!
Tuwe serious
 
Rwanda wanazindua kiwada cha kua Assamble magari sisi ndo tunaunganisha vyuma chakavu mfano wa gari afu tunasema ugunduzi,
Tuache utani jamani afu eti hadi uichomeke kwenye umeme ahahaha
 
Back
Top Bottom