Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Kwahiyo ada za wazazi wa hao wanafunzi zimeliwa bure tu?!
Wangeita hata bajaj[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ada za wazazi wa hao wanafunzi zimeliwa bure tu?!
mungu anakuona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] doh gari au toroli la umeme,labda mi ndo sjaelewa vizuri
Acha kutetea kitu ambacho kwa akili yako ya kawaida unaona ni kitukokwanza hii imekuwa designed under government institution....
pili nadhani linapokuja swala la designing watu wengi huwa mnachukulia poa sana.... lakini design ni kitu kimoja very complex... a lot of calculations huwa zinainvolve katika designing... msione tu vitu vinatembea, kuna watu walijitoa sadaka...
Hebu niambie leo hii mtu mzima aliyeishia darasa la saba amedevelop ndege.... unamuendeleza kwa kipi??? atakuwa na uwezo wa kumaster calculations za aerodynamics ambazo sometimes hata mtu wa bachelor degree zinamtoa nduki???
At least mtu akiwa katika system ya elimu inaweza ikawa rahisi kumuendeleza....
Wewe ni bogus mkuu kwani waliogundua ndege walikuwaje mbona hao wenye degree hawaundi hata kujaribu tu hawawezi nyinyi wasomi mmetengeneza mkokoteni mnawazarau wenginekwanza hii imekuwa designed under government institution....
pili nadhani linapokuja swala la designing watu wengi huwa mnachukulia poa sana.... lakini design ni kitu kimoja very complex... a lot of calculations huwa zinainvolve katika designing... msione tu vitu vinatembea, kuna watu walijitoa sadaka...
Hebu niambie leo hii mtu mzima aliyeishia darasa la saba amedevelop ndege.... unamuendeleza kwa kipi??? atakuwa na uwezo wa kumaster calculations za aerodynamics ambazo sometimes hata mtu wa bachelor degree zinamtoa nduki???
At least mtu akiwa katika system ya elimu inaweza ikawa rahisi kumuendeleza....
Unaweza tukana mtu watu wakakuona mbaya mkuu, muhimu ni kujifunza kuvumiliaem tuweni serious basi
Hahahhaaa ile sio ndege ww jamaa, ndege au helicopter ina mahesabu na unahitajika ujue theory zote za aerodynamics sasa ukimuuliza yule mbunifu anajua ratio ya weight na lift force inakuwaje, labda angekuwa ni mkufunzi wa taaluma hiyo angepiga hatua sio kufanya madudu yale, na pia hivi vitu vipo vishaundwa tujaribu kufanyia maboresho ili yafae mazingira yetu either tutumie vifaa vichache au tuboreshe mazingira, sio tunatengeneza helicopter wakati mzungu ana helicopter hadi ya kubeba makontena tunavumbua nini au tunapoteza muda, tufanye maboresho km hawa jamaa wa gari ya umeme, wakiboresha kazi hii itanufaisha wanajamii wetu, maana gari za umeme zipo ndio ila tukitengeneza zetu za mazingir yetu zitatufaa sisiHatukatishi tamaa ila kinacho weza kusemwa tuseme
Je unakumbuka wale walio tengeneza ndege serikali
Iliwasaidia nini
Je unaona hawa na wale wa ndege nani alikuwa mbunifu zaidi
Hajavumbua kitu anajaribu tu kutengeneza gari kwa kutumia skrepa, km vile anarecycle scrap metal kuunda working electric locomotive, ila gari zishaundwa zipo za umeme, gas (bio fuel), solar, zote zishaundwa na zipoHivi hata hawa waliotengeneza magari tunayotumia walianzia huku??? hatukatishani tamaa lakini tutumie comon sense kidogo, hata bati la nje tumeshindwa kulinyoosha na kupiga rangi?? Matumizi ya lugha nayo ni mabaya unasema amegundua gari ya kutumia umeme wakati dukani yapo magari mengi ya watoto unacharge kwa umeme na yanatembea bika shida, pia ukiangalia hicho kituko cha gari utaona ni ka ame assemble tu, vifaa vyote vinatoka japan na china kasoro hizo square pipe labda.