Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji, wametengeneza gari linalotumia umeme

Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji, wametengeneza gari linalotumia umeme

Hicho mbona kitu kidogo, Veta Moshi wali_design excavator (iko complete kabisa)
Ila wamejitahadi tuwape moyo.
 
Sasa hao wametengeneza au wameonganisha vifaa mbalimbali kutoka nje em tuwe siriasi wakati mwingine
 
kwanza hii imekuwa designed under government institution....

pili nadhani linapokuja swala la designing watu wengi huwa mnachukulia poa sana.... lakini design ni kitu kimoja very complex... a lot of calculations huwa zinainvolve katika designing... msione tu vitu vinatembea, kuna watu walijitoa sadaka...

Hebu niambie leo hii mtu mzima aliyeishia darasa la saba amedevelop ndege.... unamuendeleza kwa kipi??? atakuwa na uwezo wa kumaster calculations za aerodynamics ambazo sometimes hata mtu wa bachelor degree zinamtoa nduki???

At least mtu akiwa katika system ya elimu inaweza ikawa rahisi kumuendeleza....
Acha kutetea kitu ambacho kwa akili yako ya kawaida unaona ni kituko

Hivi unafikiri ni yupi anapaswa kuendelezwa kati ya mbunifu na alie fundishwa?

Hii unatetea kwa kuwa nawe ni mmoja wa wanafunzi wa hicho chuo

Hapa ulitakiwa uulize nini kifanyike ili uboreshwaji uongezeke watu wangekupa mawazo ambayo yange Fanya hili guta lenu likawa bora zaidi ya hapo lilipo
 
Sio wame assemble?
Ingekua poa kama wange anza from foundation kama yule pastor wa Ghana..
Anyway wamejitahidi
 
kwanza hii imekuwa designed under government institution....

pili nadhani linapokuja swala la designing watu wengi huwa mnachukulia poa sana.... lakini design ni kitu kimoja very complex... a lot of calculations huwa zinainvolve katika designing... msione tu vitu vinatembea, kuna watu walijitoa sadaka...

Hebu niambie leo hii mtu mzima aliyeishia darasa la saba amedevelop ndege.... unamuendeleza kwa kipi??? atakuwa na uwezo wa kumaster calculations za aerodynamics ambazo sometimes hata mtu wa bachelor degree zinamtoa nduki???

At least mtu akiwa katika system ya elimu inaweza ikawa rahisi kumuendeleza....
Wewe ni bogus mkuu kwani waliogundua ndege walikuwaje mbona hao wenye degree hawaundi hata kujaribu tu hawawezi nyinyi wasomi mmetengeneza mkokoteni mnawazarau wengine
 
Ni mwanzo mzuri tuwapongeza wanajitahidi.
Najua ipo siku tutatengeneza ya kwetu from the scatch
 
Dah hilo bati sasa, mkuu umetoa wap hiki kituko [emoji16]
 
Wamechukua chasis ya Kirikuu, wakafunga mota ya mashine ya kusaga mchicha, eti nao wanaita wametengeneza gari? Hiyo mbona hata mtoto wa darasa la kwanza anaweza kufanya assembling?
 
Hatukatishi tamaa ila kinacho weza kusemwa tuseme

Je unakumbuka wale walio tengeneza ndege serikali
Iliwasaidia nini

Je unaona hawa na wale wa ndege nani alikuwa mbunifu zaidi
Hahahhaaa ile sio ndege ww jamaa, ndege au helicopter ina mahesabu na unahitajika ujue theory zote za aerodynamics sasa ukimuuliza yule mbunifu anajua ratio ya weight na lift force inakuwaje, labda angekuwa ni mkufunzi wa taaluma hiyo angepiga hatua sio kufanya madudu yale, na pia hivi vitu vipo vishaundwa tujaribu kufanyia maboresho ili yafae mazingira yetu either tutumie vifaa vichache au tuboreshe mazingira, sio tunatengeneza helicopter wakati mzungu ana helicopter hadi ya kubeba makontena tunavumbua nini au tunapoteza muda, tufanye maboresho km hawa jamaa wa gari ya umeme, wakiboresha kazi hii itanufaisha wanajamii wetu, maana gari za umeme zipo ndio ila tukitengeneza zetu za mazingir yetu zitatufaa sisi
 
Hivi hata hawa waliotengeneza magari tunayotumia walianzia huku??? hatukatishani tamaa lakini tutumie comon sense kidogo, hata bati la nje tumeshindwa kulinyoosha na kupiga rangi?? Matumizi ya lugha nayo ni mabaya unasema amegundua gari ya kutumia umeme wakati dukani yapo magari mengi ya watoto unacharge kwa umeme na yanatembea bika shida, pia ukiangalia hicho kituko cha gari utaona ni ka ame assemble tu, vifaa vyote vinatoka japan na china kasoro hizo square pipe labda.
Hajavumbua kitu anajaribu tu kutengeneza gari kwa kutumia skrepa, km vile anarecycle scrap metal kuunda working electric locomotive, ila gari zishaundwa zipo za umeme, gas (bio fuel), solar, zote zishaundwa na zipo

Ila lugha zinagongana sana, baadae tutakuja kusema tumevumbua gari inayotembea kwa biogas
 
Back
Top Bottom