Wanafunzi wa Chuo Kikuu MOI wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, waonywa kuachana na tabia ya kutumia barakoa kama 'toilet paper'

Wanafunzi wa Chuo Kikuu MOI wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, waonywa kuachana na tabia ya kutumia barakoa kama 'toilet paper'

Kule hostel nilipokuwa naishi kulikuwa na kesi za ajabu kama hizi na tulikuwa na wakenya watatu pale hostel,sasa nimepata picha ni kina nani walikuwa wanakunya sakafuni badala ya kwenye vyoo
 
Kenya kutembea na mavi ni kawaida.Maji si desturi yao.Usiombe ukagegeda kademu ka Nairobi ni full harufu! [emoji87][emoji87][emoji87]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.

View attachment 1706342
Wakenya na waganda wana ushamba usioisha.
 
Kule hostel nilipokuwa naishi kulikuwa na kesi za ajabu kama hizi na tulikuwa na wakenya watatu pale hostel,sasa nimepata picha ni kina nani walikuwa wanakunya sakafuni badala ya kwenye vyoo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tangu lini Wakenya wakajua tumia chooo...they only know how to use flying toilets
 
Back
Top Bottom