Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Hey
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awalipwiii mwayaWakubwa I hope mko powa!!
Nilkuwa na swali Moja, Iv wanafunzi wa chuo wanaoenda TANESCO kufanya field huwa wanalipwa??
😂 aiseeNyinyi watoto siku hizi ni umbwa kabisa
Asante
Twende taratibu..Wakubwa I hope mko powa!!
Nilkuwa na swali Moja, Iv wanafunzi wa chuo wanaoenda TANESCO kufanya field huwa wanalipwa??
[emoji1787]Nyinyi watoto siku hizi ni umbwa kabisa
Asante
Hatakuelewa ,baada ya 10-15-20 ndio atakuelewa ulichomaanisha Ila saivi atakuona like mn00nko ,usiyejali biashara zako nk.ila ana mentality or mindset itakayomgharimu asipooangalia maisha yake yoteWewe hata ajira kupata itakuwa shida sana... mwombe Mungu akupe moyo wa subira na kuepuka tamaa.
Field ni sehemu ya wewe kujifunza kazi kwa vitendo kwahiyo hamlipwi na ikitokea mkawa mnapata chochote jua sio lazima upate.
Isitoshe kwa wenye mkopo wa HESLB huwa mnapewa pesa za kujikimu. Kijana tafuta ujuzi kwanza kabla ya kufikiria hela za dezo.