Wanafunzi wa Dar na wa Mikoani.

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Aisee wanafunzi wa mikoani ni strong na ni smart sana darasani tofauti na hawa wa dar, u Mamy ,Dady bye mwingi kweli,kifupi umayai umewazidi...

Cheki Toto mbeya hili
 
Aisee wanafunzi wa mikoani ni strong na ni smart sana darasani tofauti na hawa wa dar, u Mamy ,Dady bye mwingi kweli,kifupi umayai umewazidi...

Cheki Toto mbeya hili
Kwa sisi wataalamu ukicheki hicho kichwa utagundua jamaa huyu hamnazo

Ni wale anakwambia yupo darasa la 20 ( seems to be autism)
 
Elimu aihitaji wabeba vyuma. Wanahitajika wanaoweza kufikiria positively.

Otherwise nionyeshe profesa mbeba vyuma au mwenye mbigili.
 
Kwa sisi wataalamu ukicheki hicho kichwa utagundua jamaa huyu hamnazo

Ni wale anakwambia yupo darasa la 20 ( seems to be autism)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wacha hizo
 
Naona mmeanza kuingiza ugomvi wenu kwa watoto!!
 
Shule zimefunga mpk noel na mwaka mpya vzipite tutaona mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…