Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sisi wataalamu ukicheki hicho kichwa utagundua jamaa huyu hamnazoAisee wanafunzi wa mikoani ni strong na ni smart sana darasani tofauti na hawa wa dar, u Mamy ,Dady bye mwingi kweli,kifupi umayai umewazidi...
Cheki Toto mbeya hili
![]()
Nimekukuambia kama mtaalamu huyu ni autism au unabisha[emoji1] [emoji1] [emoji1] wacha hizo
Hii mwanangu pointiElimu aihitaji wabeba vyuma. Wanahitajika wanaoweza kufikiria positively.
Otherwise nionyeshe profesa mbeba vyuma au mwenye mbigili.