Wanafunzi wa Darasa la 2 kufanya Mtihani wa Taifa

Sera mbovu na mipango ya kitoto ndivyo vyanzo vya uozo wa mambo mengi hapa kwetu Tanzania! Hivi kweli unaacha kushughulikia mizizi ya tatizo unadili na vijitawi vya tatizo??
WHAT A SHAME! Kama mitihani ndo inayofundisha haya twendeni.
 
Kama kawaida mzee wa zimbabwe and pemba haishi vituko, yaani anataka kutuambia kua tatizo ni wanafunzi?

Vipi kuhusu mishahara ya walimu? Vitendea kazi je? Mnaojua kwa undani mambo haya hebu nisaidieni hili jambo kua inakuwaje watoto wanaosoma shule za serikali walio wengi/wote ndio wanamaliza shule pasipo kujua kusoma lakini wale wa shule zisizo za serikali walio wengi/wote wanajua kusoma na kuandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…