DOKEZO Wanafunzi wa darasa la 7 shule ya Msingi Chanika wazuiliwa kuingia darasani kutokana na kutochangia 500 ya masomo

DOKEZO Wanafunzi wa darasa la 7 shule ya Msingi Chanika wazuiliwa kuingia darasani kutokana na kutochangia 500 ya masomo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,568
Reaction score
9,710
Ninawajulisha tuuuu,mpita njia wenu.

CC:-
  • Afisa Elimu Kata (Limemshinda au kajiongeza)
  • Afisa Elimu Wilaya (Hasomeki,vikaoni haendagi)
  • Afisa Elimu Mkoa (anajua mambo saafi kwa wa chini yake)
  • Wizara ya Elimu
WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Chanika wanaojiandaa na mitihani ya Darasa la Saba wengi wao wamezuiliwa kuingia kwenye masomo kwa kutokuchagia Tsh: 500 kila siku ili kuingia darasani, pia Tsh. 1,000 kila Jumamosi.

Watoto wengi wapo nje ya mazingira ya shule, huku wenzao waliotoa Tsh. 500 wakiwa darasani.

Pia soma:
  1. DOKEZO - √ - Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani
  2. DOKEZO - √ - Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada
  3. DOKEZO - √ - Wanafunzi wa kidato cha tano kukataliwa kisa hawajamaliza michango ni usumbufu kwa wanaotoka mbali
  4. DOKEZO - √ - Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

Nahisi hii sio sahihi, kutumia advantages za Darasa la Saba kisa kukabiliana na mtihani, muda wa masomo wa kawaida ni haki ya wanafunzi wote.

Remedios ndio iwe optional.

Majibu ya Waziri wa Elimu; Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda apiga marufuku Shule kuzuia Wanafunzi ambao hawajalipa fedha za michango
 
Ukiwa unaona elimu ni ghali basi,basi jaribu ujingaaaaa🎼🎼🎼🔊🔊🔊📢📢 ...R.I.P Banza
 
Pole Shule za ilala hata msemeje hawashughulikiwi ng'ooo hao wanakula na watu Wa juu magu mwenyewe alishindwa sembuse mama
 
Mbona haya mengi sana, nendeni Kilombero ndo mtashangaa. Kuna kitu kinaitwa makambi inakamua wazazi pesa acha kabisa. Hasa shule za kata ya Kidatu.
 
Back
Top Bottom