KERO Wanafunzi wa Diploma, Chuo cha Muhimbili-COHAS, Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya

KERO Wanafunzi wa Diploma, Chuo cha Muhimbili-COHAS, Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Bima yenyewe si ni 54k, unatumua mwaka mzima.

Walipe tuu.
50,400/=

Huu utaratibu nimeuacha 2020.
Ulikuwepo,UE hufanyi bila bima.


Ila nilijua kuitesa Ile bima aisee
Ukisikia bima ni kama gambling ndio hii sasa.
Mwingine anailipia na hauguj .
Mwingine kutwa kuitumia .

Uamuzi sahihi ni kuwa nayo in case of anything.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hizi Bima wanazozungumzia hazimsaidii kabisa Mwanafunzi.

Mtu anaumwa labda Typhoid au Malaria akienda na kadi yake wanaishia kumoa Paracetamol

Wajinga sana hao watu wa Bima ya Afya
Kwmba bima haiwezi lipia A-LU( Mseto)?
 
Upumbavu mtupu na aliyeamua hana akili hata kidogo hatakiwi kua hapo, wamelipa school fees tayari acha wafanye mitihani ,kama wana madeni usiwape matokeo mpaka walipe ili kuendelea na semister nyingine
 
Back
Top Bottom