Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 76,039 Reaction score 230,142 Feb 5, 2023 #21 GenuineMan said: Bima yenyewe si ni 54k, unatumua mwaka mzima. Walipe tuu. Click to expand... 50,400/= Huu utaratibu nimeuacha 2020. Ulikuwepo,UE hufanyi bila bima. Ila nilijua kuitesa Ile bima aisee Ukisikia bima ni kama gambling ndio hii sasa. Mwingine anailipia na hauguj . Mwingine kutwa kuitumia . Uamuzi sahihi ni kuwa nayo in case of anything. Sent using Jamii Forums mobile app
GenuineMan said: Bima yenyewe si ni 54k, unatumua mwaka mzima. Walipe tuu. Click to expand... 50,400/= Huu utaratibu nimeuacha 2020. Ulikuwepo,UE hufanyi bila bima. Ila nilijua kuitesa Ile bima aisee Ukisikia bima ni kama gambling ndio hii sasa. Mwingine anailipia na hauguj . Mwingine kutwa kuitumia . Uamuzi sahihi ni kuwa nayo in case of anything. Sent using Jamii Forums mobile app
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 6,260 Reaction score 14,470 Feb 5, 2023 #22 Azarel said: Tatizo hizi Bima wanazozungumzia hazimsaidii kabisa Mwanafunzi. Mtu anaumwa labda Typhoid au Malaria akienda na kadi yake wanaishia kumoa Paracetamol Wajinga sana hao watu wa Bima ya Afya Click to expand... Kwmba bima haiwezi lipia A-LU( Mseto)?
Azarel said: Tatizo hizi Bima wanazozungumzia hazimsaidii kabisa Mwanafunzi. Mtu anaumwa labda Typhoid au Malaria akienda na kadi yake wanaishia kumoa Paracetamol Wajinga sana hao watu wa Bima ya Afya Click to expand... Kwmba bima haiwezi lipia A-LU( Mseto)?
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 3,504 Reaction score 6,809 Feb 5, 2023 #23 Upumbavu mtupu na aliyeamua hana akili hata kidogo hatakiwi kua hapo, wamelipa school fees tayari acha wafanye mitihani ,kama wana madeni usiwape matokeo mpaka walipe ili kuendelea na semister nyingine
Upumbavu mtupu na aliyeamua hana akili hata kidogo hatakiwi kua hapo, wamelipa school fees tayari acha wafanye mitihani ,kama wana madeni usiwape matokeo mpaka walipe ili kuendelea na semister nyingine
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Feb 5, 2023 #24 GenuineMan said: Kwmba bima haiwezi lipia A-LU( Mseto)? Click to expand... Literary inaweza ila kwajinsi walivyo hao jamaa ni kama wanaona Wanafunzi wanafaidi so hawajui kujali
GenuineMan said: Kwmba bima haiwezi lipia A-LU( Mseto)? Click to expand... Literary inaweza ila kwajinsi walivyo hao jamaa ni kama wanaona Wanafunzi wanafaidi so hawajui kujali