hamza mahundu
Member
- Dec 20, 2018
- 58
- 116
Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani?
Vigezo ni vipi?
Vigezo ni vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kigezo bongo hakipoWasio na wazazi na walemavu
hvi wanaoendelea na chuo diploma wanaruhusiwa kuomba?Soma muongozo huo
Figisu tu na kuwahadaa watanzania masikini hakuna mkopo hadi mda huu wajapewa hao wanafunzi wa diplomaKwahiyo chini 2019 hatuhusiki