sure!wanaendekeza umasikini wa fikra
...What goes around..comes around.Wakike wengine wanaona fahari kutongozwa..,hata hivyo watu wazima hao wanajua wafanyalo.Sasa umekwenda ofisini kukaa tu au kujifunza yaani supervisor akatafute document mahali wakti denti amekaa? sio ustaarabu bana..waache wajifunze..