pererge
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 571
- 204
mkuu yaani kwa kifupi hao jamaa walitakiwa kutembeza kichapo cha mbwa mwizi kwa vibaka katika maeneo yao hata wao wakiona kibaka anakuja mitaa yao wanamwambia unatutafutia balaa. Lakini hii ya kufunga barabara na matokeo yake wanatolewa kamasi na polisi tena kwa aibu kubwa jamani fuatilieni taarifa ya ITV ninaimani hii asubuhi watarudia muone walivyokuwa wanatembelea magoti ni huruma usister du, ubrothermen wote ulukuwa umeishatea ghafla
mwanaweja hawa wanaokupinga ndio haohao ambao wanataka serikali iwafanyie kila kitu na serikali, hawawezi hata kidogo kuonyesha kajuhudi kidogo kakujilinda wenyewe yaani ni NYORONYORO.