Wanafunzi wa IFM fanyeni haya kama mnataka kuishi salaama


mwanaweja hawa wanaokupinga ndio haohao ambao wanataka serikali iwafanyie kila kitu na serikali, hawawezi hata kidogo kuonyesha kajuhudi kidogo kakujilinda wenyewe yaani ni NYORONYORO.
 

na jamaa wa pantoni angeenda kuwamwaga baharini ili wajue kuwa pantoni haina magurudumu kama gari.
 
Invisible tafadhari naomba ufafanuzi, hivi sasa hivi mpaka vichaa wanakubalika kuwa Member wa JF!? hii ni nini sasa! huu ndio uhuru wa mawazo au uwendawazimu? Thread ya kipumbavu kabisa kutoka kwa mpumbavu.
 
Last edited by a moderator:
na jamaa wa pantoni angeenda kuwamwaga baharini ili wajue kuwa pantoni haina magurudumu kama gari.

Hivi kama angeamua kulipaki baharini halafu wao wakaogelea mhadi ufukweni (wale ni mabaharia) wangefanya nini? Yaani jamaa hawakuwa na plan B
 
Mh ! Chai tamu aka Mjeda kawaharibu watu haya mambo ya kuandika nusu nusu kama episodes mnatuchosha.
 
Hapo mkuu Mwanawaje ndiyo utofautishe kati ya soft education na hand education, wanafunzi wa technical colleges hawawezi kufanyiwa vitu vya namna hii watachekwa. Nakumbuka wakati tuko chuoni hata wasichana walikuwa hawasumbuliwi na raia, ilikuwa ikitoke wanasema ngoja tuwaambie kakazetu mtakiona jamaa wananywea, chezea mwanafunzi wa technical utaumbuka ngumi jiwe.
 
Kamanda Kova angetoa somo la ulinzi shirikishi hapo chuoni. Waunde kikundi kama cha sungu sungu ili wafanye patrol kwenye maeneo yao. Yeyote mwenye bahati mbaya ya kukamatwa, akivalishwa tairi itakuwa somo tosha kwa wengine!
 
its kind of rubbish i never see wewe eleza hao madogo wafanyaje unatueleza MTC ambayo haiexist acha mambo ya ajabu ulishawahi kukaa hostel wewe?unaweza funga milango ila kila mtu ana muda wake wakuingia humo so .mimi nashauri hivi kila mmiliki wa hostels ahakikishe anaweka ulinzi wa polisi waliosajiliwa kabisa na silaha na wao wasikubali kukaa sehemu haina ulinzi nje maana wanalipa pesa nyingi sana kewnye hizo hostels .pia nashauri pindi wanapowa timing nakuwakamata wasiwashirikishe police wawauwe tu wakiwaua kama kumi au 5 itasaidia kwa kiasi kikubwa.mimi
 
Hata mimi nimesoma IYUNGA TECH.SEC, vibaka walikuwa hawang'ai, tulikuwa tunapiiiga!!! ile mbaya!.
 
Mbona jamaa katoa point tupu ilitakiwa wawe wamoja na kuunda ushirika wa ulinzi mkitoa kichapo kwa wezi 2.3 itakua poa
 

inaonekana hujui tofauti ya ifm na kigamboni?
 

point safi sana..
 
Weee Mwigulu Nchemba(AKA Mwanaweja) weewee. Acha kuvuta hizo Bange huko mabondeni. Kwa uhandishi huu Mwigulu huwezi kujificha nyuma ya ID fake ya Mwanaweja. Watu wamekushtukia. :target:
 
Mh ! Chai tamu aka Mjeda kawaharibu watu haya mambo ya kuandika nusu nusu kama episodes mnatuchosha.

hajiamini pia mleta mada kashindwa kutofautisha kati ya hostel na boarding as accomodation services..
 
hawa jamaa nawaona muda mrefu wanapost usenge mi nawaangalia tu, halafu wanaona ni point point kumbe upuuzi na usenge mtupu, achana nao hawa wapuuzi, analeta story za MTC eti anajisifia... Kumbe anapost pumba tu...

you have few time to correct your post otherwise you will be banned. ok?
 
Weee Mwigulu Nchemba(AKA Mwanaweja) weewee. Acha kuvuta hizo Bange huko mabondeni. Kwa uhandishi huu Mwigulu huwezi kujificha nyuma ya ID fake ya Mwanaweja. Watu wamekushtukia. :target:

name calling is not allowed at JF sorry sir You Are Banned for 3 days!

==========================================
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…