Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Wanafunzi zaidi ya 200 wa chuo cha Kampala wameandamana hadi ofisi za TCU wakitaka kujua hatma yao ya kielimu.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCU wana kazi gani kama kila mtu itabidi afatilie usajili na ubora wa vyuo??!! Yaani ndio maana Tanzania haiwezi kuendelea kirahisi, yaani watu wamefanya uzembe hadi wanafunzi kujiunga na chuo kisicho na usajili wewe unataka kulaumu wanafunzi??!!Siwatetei ila sidhani kama wanafunzi wengi huwa tunafanya tafiti za kina
pale tunapotaka kujiunga na vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu
sidhani kama wengi huwa tunazingatia kufatilia usajili wa hivi vyuo na hata
usajili wa kozi mbalimbali sababu laiti kama tungekuwa tunaangalia hivi vitu
mapema hivi vyuo hakika visingekuwa miongoni mwa machaguo yetu kabisa
na hizi shida saiv zisingekuwepo hii nchi imeshavurugika umakini na jitihada
zako ndo unaweza kukufanya usipate taabu hili tatizo sio la kutatuliwa leo
kutokana na mazoea ya serikali yetu laiti hawa wanafunzi wangekuwa makini
hii shida isingekuwepo hili ni funzo kwa wanaojiandaa kuingia vyuoni mwaka huu
na walio shuleni wasome kwa bidii ili wasije chaguliwa vyuo visivyo kidhi mahitaji ya mitaala
na kozi wazipendazo kusoma katika Elimu ya juu
we unaongea ujinga kwani bodi husika ambayo ni Tcu iliwekwa kwajili gani na na kwanini nao pia wamekiweka kwenye guide book yao inamaana utasema ni kosa letu tumia akili akati unajibu hoja humuSiwatetei ila sidhani kama wanafunzi wengi huwa tunafanya tafiti za kina
pale tunapotaka kujiunga na vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu
sidhani kama wengi huwa tunazingatia kufatilia usajili wa hivi vyuo na hata
usajili wa kozi mbalimbali sababu laiti kama tungekuwa tunaangalia hivi vitu
mapema hivi vyuo hakika visingekuwa miongoni mwa machaguo yetu kabisa
na hizi shida saiv zisingekuwepo hii nchi imeshavurugika umakini na jitihada
zako ndo unaweza kukufanya usipate taabu hili tatizo sio la kutatuliwa leo
kutokana na mazoea ya serikali yetu laiti hawa wanafunzi wangekuwa makini
hii shida isingekuwepo hili ni funzo kwa wanaojiandaa kuingia vyuoni mwaka huu
na walio shuleni wasome kwa bidii ili wasije chaguliwa vyuo visivyo kidhi mahitaji ya mitaala
na kozi wazipendazo kusoma katika Elimu ya juu
Siwatetei ila sidhani kama wanafunzi wengi huwa tunafanya tafiti za kina