A Atongwele JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 2,470 Reaction score 106 Feb 22, 2013 #1 du kwa mambo haya kuna kusoma kweli huko shule
ashy da don JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 615 Reaction score 670 Feb 22, 2013 #2 alafu hy inaonekana n kijijin cjui huku mjin itakuwaje.
A Atongwele JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 2,470 Reaction score 106 Feb 22, 2013 Thread starter #3 huku ndo tusiseme. na haya matatizo ya usafiri na kushamiri kwa tuition kama si wanafunzi wanaishia guest nini.
huku ndo tusiseme. na haya matatizo ya usafiri na kushamiri kwa tuition kama si wanafunzi wanaishia guest nini.
A Atongwele JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 2,470 Reaction score 106 Feb 22, 2013 Thread starter #4 tatizo la elimu tanzania ni pana na linahitaji tafakari na ufumbuzi wa pamoja badala ya kutoa majibu mepesi kuwa waziri kawambwa ajiuzuru
tatizo la elimu tanzania ni pana na linahitaji tafakari na ufumbuzi wa pamoja badala ya kutoa majibu mepesi kuwa waziri kawambwa ajiuzuru
ashy da don JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 615 Reaction score 670 Feb 22, 2013 #5 tamthilia hiz ztatuharbia sana vijana wetu.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Feb 22, 2013 #6 ukipita mitaa ya mbezi beach wanafunzi hawataki kupanda daladala muda wote wakiwa vituoni ni kuomba lift tu kwenye private cars. Maskini watoto wa kike hapo sijui km wanasalimika kwa vijana wenye starlets na gx100
ukipita mitaa ya mbezi beach wanafunzi hawataki kupanda daladala muda wote wakiwa vituoni ni kuomba lift tu kwenye private cars. Maskini watoto wa kike hapo sijui km wanasalimika kwa vijana wenye starlets na gx100