Wanafunzi wa Kibongo na Matokeo ya Form 4 2012

Wanafunzi wa Kibongo na Matokeo ya Form 4 2012

Atongwele

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
2,470
Reaction score
106
267826_621233971236723_866851336_n.jpg


du kwa mambo haya kuna kusoma kweli huko shule
 
huku ndo tusiseme. na haya matatizo ya usafiri na kushamiri kwa tuition kama si wanafunzi wanaishia guest nini.
 
tatizo la elimu tanzania ni pana na linahitaji tafakari na ufumbuzi wa pamoja badala ya kutoa majibu mepesi kuwa waziri kawambwa ajiuzuru
 
ukipita mitaa ya mbezi beach wanafunzi hawataki kupanda daladala muda wote wakiwa vituoni ni kuomba lift tu kwenye private cars. Maskini watoto wa kike hapo sijui km wanasalimika kwa vijana wenye starlets na gx100
 
Back
Top Bottom