Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

na kweli umeyapata WIKIPEDIA
 
Kuna kitu hukijui, jumapili sio siku ya ibada ya wakrito. Ni mfalme constantino aliyeipitisha rasmi kama siku ya ibada kwa wakristo. Biblia au Yesu mwenyewe hajabadili siku ya ibada kutoka Sabato kwenda Jumapili. Jumapili yaani Sunday ilikuwa ni siku wapagani walikuwa wanaabudu jua. Wakati Yesu yupo Duniani mpaka anaondoka na kuwaacha wanafunzi wake muda wote huo walikuwa wanaadhimisha siku ya Sabato kama siku ya ibada. Na hawa wote walikuwa wakristo, ambao walipitia mateso makali chini ya utawala wa kirumi ambao baadae walifanya muafaka kuwa wakristo wataendelea na Sabato lakini inapofika jumapili waende makanisani. Historia ni ndefu, ukitaka nikujuze zaidi nitakujuza. Swala la wengi wanasali jumapili sio la kuangalia bali mwenyezi Mungu anasema nini.
 
Binafsi, nimefuatilia sana majibu ya wadau wengi sana kwenye mjadala huu wa sabato. Na inayvyoonekana, wachangiaji wengi sana, hawaelewi maana ya sabato, chanzo cha sabato, umuhimu wa sabato na hatima ya sabato kwa muumini. Hilo ndilo tatizo la wengi hapa jamiiforum(nazungumzia wale tu waliojirusha kuchangia kwenye mjadala huu wa wanafunzi wasabato).
Aidha, wengine wamediriki hadi kuwatolea matusi wasabato hawa, jambo ambalo binafsi limenihuzunisha sana. Na wengi wana ushabiki tu usio na maana wa kimadhehebu na kidini wakitetea hoja mfu. Mungu si mwanadamu, hafikiri kama tunavyofikiri, wala hatendi kama tunavyotenda sisi. Ni Mungu (YEHOVA) asiyechunguzika kabisa.
Sabato siyo ya wayahudi, wala sabato haikuanzia kwa wayahudi wala mlimani Sinai kama wengi wanavyofikiri. Sabato ndiyo ndilo PUMZIKO TAKATIFU LA IBADA KWA MUNGU, tangu hata milele zote. Pumziko hilo limetajwa tangu mwanzo hadi ufunuo.
Mtu yeyote anayewabishia wasabato ambao ndio watu pekee wanaoifuata Biblia, na atuonyeshe ni wapi siku ya ibada ni jumapili au iujumaa au jumanne nk. Aende hadi kwenye Biblia na Quran asome akiona kuwa kuwa ijumaa, au jumapili ni ibada ya pumziko takatifu la M/Mungu, aje, nitamzawadia milioni mbili za bure.
Tofauti na hapo, acheni na hampaswi kuwatukana na kwakejeli wasabato, maana hao ndio wanaoifuata Biblia. Wengine ni wajasiliamali wa dini tu.
 
NADHANI HAPA KULIKUA NA MALIZE TU, NASIKIA WALIOTANGULIA WALIKUA WANAFANYA JUMAPILI kama kawa...........

Kwa uelewa wangu mtihani haupo katika vilivyozuiliwa kufanya siku ya saba. mna-complicate tu imani yenu safi ya sabato na kuonekana kama ni tatizo.. Ile mijikazi ya nguvu inayokufanya hata unavua shati kwa mijasho ndio iliyokatazwa.

Siku hiyo usifanye kazi yeyote!!
 
Tufike mahala watu waelimishwe namna ya matumizi bora ya muda.Fikiria uanze kuimba kuanzia Ijumaa saa 12 jioni mpaka j2 tena saa 12jioni.Je huo muda utatoka wapi katika Ulimwengu huu wenye fursa adimu zinazoendana na muda?.
 
Hawa wanafunzi unawashauri nn kisheria?
 
kwani wote wanaofaulu wanamcha mungu?
hili swali nililitegemea sana lakn kuna andiko linasema pasipo mimi ninyi hamuwezi kufanya lolote....hivi unajua hata majambazi/mafisadi/wezi wapo wanaomtegemea mungu na wanatoa zaka na sadaka? Seuse wewe? Ama badu wapo wanaomuomba mungu na wanatumia madesa bado..hii ni mada nyingine
 
umesomeka, sasa toa ushauri wako kuhusu hawa wanafunzi
 
tufike mahala watu waelimishwe namna ya matumizi bora ya muda.fikiria uanze kuimba kuanzia ijumaa saa 12 jioni mpaka j2 tena saa 12jioni.je huo muda utatoka wapi katika ulimwengu huu wenye fursa adimu zinazoendana na muda?.
aisee, naona unahoji mamlaka za juu mno mkuu.......
 
NADHANI HAPA KULIKUA NA MALIZE TU, NASIKIA WALIOTANGULIA WALIKUA WANAFANYA JUMAPILI kama kawa...........

chuo kimeugua kichaa, what is sunday anyway? wakate rufaa kwa kutumia sababu zinazofanya chuo kisifanye mitihani jumapili ndio hizo hizo zinazowazuia wao kufanya mtihani jumamosi.
 
angalau unaanza kusomeka kiushauri, lakn wamekata rufaa Baraza la Chuo limewatosa, waende wapi zaidi?
 
angalau unaanza kusomeka kiushauri, lakn wamekata rufaa baraza la chuo limewatosa, waende wapi zaidi?

katiba inawapa uhuru wa kuabudu, baraza la chuo si chochote haliwezi kutengua katiba, wambie waende mahakamani watapewa tu mitihani yao.
 
Ama kweli,hapa umenikumbusha enzi zangu za chuo nakumbuka mwalimu wangu wa Jurisprudence alishawahi kuuliza swali linalofanana na hilo."fikiria wewe ni hakimu unaletewa kesi utoe maamuzi juu ya kesi ambayo mkuu wa shule amewafukuza wanafunzi fulani kwa kosa la kukataa kuimba wimbo wa shule,kwa sababu tu imani yao ya kidini hairuhusu kuimba nyimbo za namna hiyo".
Nilazima kutambua kuwa kuna kanuni zinazosimamia maisha ya jamii kwa ujumla na zile zinazosimamia maisha ya kundi la watu fulani.
Ni ukweli usiopingika kuwa kanuni za kundi la watu fulani haziwezi kuwa juu ya kanuni zinazosimamia jamii nzima. Hivyo basi kunawakati tunalazimika kuacha matakwa yetu kama kikundi fulani kwa manufaa ya jammi nzima ili kudumisha amani na mpangilio wa mambo kwenda sawa,kwa sababu haiwezekana hata siku moja ukatimiza haja ya kila kundi kwa wakati wake.
kwa mfano kama hapa tuseme na waislamu wakatae kufanya mitihani ijumaa na wakristo wakatae kufanya mitihani jumapili,kutakuwa na nini.
Chamsingi hapa ni wanafunzi hawa kupitia uongozi wao wa wanafunzi,waombe kukaa chini na uongozi wachuo,kuzungumza nao na lazima wakubali kuwa kitendo walichofanya si cha kiungwana,lakini pia uongozi wa chuo ulichukua maamuzi magumu sana,kwa sababu,kumfukuza mwnafunzi chuo siyo kumsaidia,ila ni kumkomoa,kitu ambacho nafikiri si lengo la taasisi hii kubwa nchini.Na hivyo waombe kurudishwa chuoni kwa mashariti kuwa hawatarudia tena kitendo cha kukataa mitihani,kwa sababu naamini ratiba ilitoka mapema,kwa nini hawakuanza mazungumzo mapema?. Naamini viongozi wa chuo siyo mawe wanaweza kuwaelewa kama busara ikitumika,na wakisharudishwa chuoni waombe kufanya mitihani hiyo walokuwa wamekataa,kama mimgine walifanya.
Tusisahau jamani mwenyewe mwenye dini ya kikristo alishajibu,hili kama ni halali kufanya kazi siku ya sabato,aliwauliza kwa mfano ni nani kati yenu ambaye hatamtoa punda wake alotumbukia katika shimo siku ya sabato?. Je punda ni bora kuliko maisha yako wewe.
Tena vitabu hivyo vutakatifu vinaagiza 'mwanangu mshike sana elimu.........
hebu tubadilike tuache kujifanya sisi tunaijua sana dini kuliko mwenye nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…