Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
- Thread starter
- #181
na kweli umeyapata WIKIPEDIA
Wayahudi wote wafundisha ya kwamba sheria zote za Sabato zaweza kuvunjwa kama maisha ya kibinadamu yako hatarini.
Kwa muda mrefu Jumapili iliheshimiwa kama siku ya ibada ya kikristo lakini bila masharti ya kuacha kazi. Sharti hili lilikaziwa tu katika nchi za Ulaya tangu karne ya 18 na 19. Maandishi haya nimeyapata kwenye wikipedia hii inamaanisha kwamba sabato ni siku ya mayahudi na wala sio siku ya manasara (wakristo), pia siku yeyote kati ya Jumamosi au Jumapili muumini anaweza kufanya kazi pindi kama maisha yake yako hatarini; swali jee kukosa mtihani (kwa kishingizio cha sabato) hakuhatarishi maisha ya mwanafunzi husika..????? angusha points hapo mwanangu..???