Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

nafikiri kujadili siku ya kuabudu ni lini haisaidii sana kuwashauri hawa wanafunzi,na mimi naamini kama kweli wanafunzi hawa wanamwabudu mungu wao kwa dhati,ikumbukwe kuwa chuo ni muda wa miaka mitatu au minne,wazitii tu mamlaka hizi na kisha wamwombe mungu wao kwakuwa walichofanya si kwa matakwa yao,bali mamlaka za dunia hii,na mungu atawasamehe.maana imeandikwa hata dhambi zako zikiwa nyekundu kama damu zitakuwa nyeupe kuliko theruji.
nimeshauri hivi.
Kupitia uongozi wao wa shule wakae chini waombe radhi kwa uongozi wa chuo na wakili tu kuwa kitendo walichofanya si cha kiungwana na hawawezi kurudia tena. kisha waombe kufanya mitihani walokuwa wamekataa. uongozi wa chuo siyo mawe watawaelewa tu kama busara itatumika.
 
teku waliamua kufuata mkondo wa chuo cha kitaifa hivyo inabidi wawavumilie wenye imani tofauti. La sivyo watamke wao ni chuo kikuu cha wamoravian nasi hatutakiuwa na lingine bali kuwaachia chuo.

mh! Mkuu inaonesha una hasira na teku? Vipi? Hiyo ni private institution elewa.
 
warudi na watii sheria za shule....hawataki waende kwenye kile chuo chao arusha..

naunga mkono,waelewe sio chuo cha dhehebu lao hicho kwamba kitaheshimu sabato,arusha uni si ipo waende huko
 
kesi za wasabato kufukuzwa vyuoni kwa sababu hiyo mbona ni common hapa nchini? SUA walifukuzwa sana hadi wakanyooka. Ila kinachokera ni kwamba, wanagomea kufanya mitihani Jumamosi lakini wanangonoka sana siku hiyo. Nilishuhudia sana chuoni hii tabia, wakitoka kanisani washindwa vyumbani na mademu wao kutwa wanangonoka LIVE lakini hawataki kuhudhuria lecture au kufanya papers. Ikiwa hivyo, mitihani isifanyike Jumapili na Ijumaa pia.
 
Ufuska mnafanya siku hiyo lakini mitihani nongwa! Wanafiki wakubwa!
 
ni kweli lakini inapoigusa imani inakuwa ngumu kumesa ninachojua mm
 
kumbuka kuna Waadventista, Wasaa-bado na Wasabato
 
naunga mkono,waelewe sio chuo cha dhehebu lao hicho kwamba kitaheshimu sabato,arusha uni si ipo waende huko
sio chuo cha dhehebu sawa lakn ni cha dini huenda wangeheshimu dini zote............
 
Hao nao waache upimbi wa kujifanya kuwa wao ni wayahudi kuliko wayahudi wenyewe, Mbona waislamu wanapiga pepa hadi Ijumaa? Mbona hapo SUA wakristo wanapiga pepa hadi J2 lakin hatusikii upunguani wowote kama huu?
je hao wakristo wanaopiga pepa siku ya jumamosi? wanafuata biblia takatifu ama iliochakachuliwa...na mwanadamu?? maana biblia iko wazi kabisa kuhusu sabato...kama wao wameamua kufuata yale yasiokweli..shauri yao...tutazidi kuwaombea lakini...
 

Ni wapuuzi sana hawa Mafarisayo..
 
una takwimu mkuu?

Takwimu za nn mkuu...? Yani unataka kuniambia hujawahi kaa/kumuona mtu ambaye hana dini au haamini kuna Mungu...

Au unataka nikupe takwimu zipi ili uridhike....Ndio maana Tanzania ni secular country kila mtu ana uhuru wa kuabudu jinsi atakavyo hata kama ni ataabudu jiwe...
 
hakuna official study imefanyika kujua idadi ya watz kwa kufuata itikadi
 
sio chuo cha dhehebu sawa lakn ni cha dini huenda wangeheshimu dini zote............

Hebu waende wakafanye huo ujinha SAUT waone...Au hawajapata habari ya radicals wenzao walivyo fanywa...SAUT kuna Wasabato kibao na wanafuata sheria za Chuo..
 
je hao wakristo wanaopiga pepa siku ya jumamosi? wanafuata biblia takatifu ama iliochakachuliwa...na mwanadamu?? maana biblia iko wazi kabisa kuhusu sabato...kama wao wameamua kufuata yale yasiokweli..shauri yao...tutazidi kuwaombea lakini...

Vipi kile chuo chenu cha Arusha hakina vigezo...? Hivi nyie Mafarasayo nani kawaloga...??? Si mngeenda kwenye kile chuo chenu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…