nafikiri kujadili siku ya kuabudu ni lini haisaidii sana kuwashauri hawa wanafunzi,na mimi naamini kama kweli wanafunzi hawa wanamwabudu mungu wao kwa dhati,ikumbukwe kuwa chuo ni muda wa miaka mitatu au minne,wazitii tu mamlaka hizi na kisha wamwombe mungu wao kwakuwa walichofanya si kwa matakwa yao,bali mamlaka za dunia hii,na mungu atawasamehe.maana imeandikwa hata dhambi zako zikiwa nyekundu kama damu zitakuwa nyeupe kuliko theruji.
nimeshauri hivi.
Kupitia uongozi wao wa shule wakae chini waombe radhi kwa uongozi wa chuo na wakili tu kuwa kitendo walichofanya si cha kiungwana na hawawezi kurudia tena. kisha waombe kufanya mitihani walokuwa wamekataa. uongozi wa chuo siyo mawe watawaelewa tu kama busara itatumika.