Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

Acha kupotosha mkuu
Heshimu imani za wengine kama wewe unavyoheshimiwa na wenzio

Imani za wengine tena? Sio Imani kwa Mungu? Basi, Mungu ni mmoja tu na naye utaratibu wake Wa namna ya ku-deal nayeulishaelezwa naye kwa njia ya Mwanaye. Haya ya kushindwa kufanya mambo muhimu katika maisha yetu sababu ya kikwazo cha siku ni mojawapo ya mambo ambayo alishayakataa. Yeye amemuumba mwanadamu na kumuweka juu ya viumbe vyote na juu ya majira na nyakati zote. Mwanadamu ndiye mpangaji Wa majira na nyakati.Ni mratibu Wa majira na nyakati.
 

Kwa mamlaka yale Yale tuliyopewa. "... Lolote mutakaloliamua au kulikubali duniani na Mbinguni limepita hivyo hivyo...na lolote mutakalolikataza na Mbinguni imekubaliwa hivyo hivyo..."

Yesu alikuja kuleta amani na utulivu duniani na mioyoni mwetu.Alikuja ku-restore tranquility iliyokuwa imepotezwa na dhambi za wazazi wetu Wa mwanzo.Kwa hiyo hatuwezi kukubali kuona kikundi cha "walevi wa kiimani" wanatu-distabilize.
 

Post yangu No. 309 nilikueleza kwamba una kichaa sugu sasa kwa post yako hii nathibitisha bila mashaka yoyote kwamba wewe kichwani dish limecheza
 
Mkuu, Wasabato ni laana ya dunia
 
Naona tunashindwa kutofautisha yaliyo yake kaisali na yaliyo yake mungu.kila kitu na nafasi yake
 
Ndiyo maana hata shule zao zinaongoza kwa kufelisha,iwe msingi au sekondari.
 
Una mdharau mwanamke ?
 
Vyuo vya kisabato vipo waende huko. Ni sawasawa uende kusoma shule yenye misingi ya kiislamu ukatae kujifunza Quran, au usome za kikristo ukatae kusoma biblia, kujifunza sala na kufanya mtihani wake.
Kama umefata elimu hakuna kitakachokusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNAPOSAJILI CHUO AU SHULE KWENYE TAASISI ZA UMMA ZENYE MAMLAKA WANAULIZA MITAALA YA DINI? AU WANUFUATA SHERIA ZA USAJILI
 
UNAPOSAJILI CHUO AU SHULE KWENYE TAASISI ZA UMMA ZENYE MAMLAKA WANAULIZA MITAALA YA DINI? AU WANUFUATA SHERIA ZA USAJILI
Sijajua, mwenye kujua atueleweshe. Lkn kuepuka hayo kama wewe ni mfata dini mzuri ni bora kuchagua chuo/shule ambayo taratibu zao hazitakukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanissha hakuna uhuru wa kuabudu kama katiba ya nchi isemavyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanissha hakuna uhuru wa kuabudu kama katiba ya nchi isemavyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo uhuru una Mahala pake....Hebu waende wakafanye huo ushenzi wa Kisabato na u-extrimist wa Ellen G White kwenye taasisi yyte ya Kikatoliki uone moto wake...Waulize historia iliyowakuta Wasabato SAUT ndo utajua.....

Huo ujihad wenu pelekeni huko huko kwenye makambi yenu ya ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…